Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Hahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools
Mrembo hivo unapiga passport?
 
Hahahhahaaahhaa mkuu umenichekesha sana.Pugu ilikuwa ni balaa aisee..
 
zamu yako ilikuwaje mkuu
 
zamu yako ilikuwaje mkuu
 
Hiyo ya kuumwa nami nimefanya sana
 
Kuna kale katabia ka wavulana kuruka ukuta(tena mrefu na umepakwa rangi ya mafuta) kwenda kuangalia mechi kipindi cha ligi za ulaya zile zinazooneshwa usiku...halafu sasa siku moja bwana headmaster akajua watu wametoroka akatinga mtaani kuwasaka, jamaa wakasikia MASTER anakuja( alikuwa mmasai mrefu sana), wakatoka nduki tena sio kupitia mlangoni, lilikuwa banda la mabati, kwa hiyo wakalivunja kwa kusukuma mabati ya pembeni paa likashuka chini mwaaa...
Sijui wakiwa wazazi watakuwa wanawaambia watoto wao wasitoroke masikini wakati wao walikuwa vinara!
 
Sitasahau siku moja kinajamaa alianguka bafuni alkua anapiga punyeto bafuni usiku. watu badala yakwenda kumsaidia tukabaki kucheka tu.
 
Nachokumbuka cha kusikitisha nilifiwa na mwanangu mimi nalala kitanda cha juu yeye chini kwenye Deka aliugua tumbo tu kama masihara akaenda nyumbani karudi shule kapona kumbe ndio anaondoka hivyo ,R.I.P Brother Mungu akipenda tutaonana tena.

Msosi kujazwa mafuta taa

Mengine ni ya kawaida kama kuwafulia mabraza wa form Six na Five ....kupewa sh 50 ukanunue mkate mzima,soda ,na change ibaki mkate wakati huo ulikua 400

Na Disco zetu za mchana na watoto wa Machame Girls ,Kibosho Girls,St Marygoreth,Weruweru nk

P.O.Box inaitwa sijui Lee Pax ,Barua za watoto wa Machame,Marygoreth nk basi kidume ukiitwa assemble kupewa barua yako kichwa kinakua kikubwa (Ujiko) ndani ya barua yenyewe hamna kitu ni kiss before you open ...na makopa kopa tu .....
Ulitokea ugomvi jamaa mmoja wa Six alikula mke ya mwanakijiji akakamatwa akachezea kichapo kesho yake jioni Mungu ndio anajua ,jamaa walitugawa kwenye platoons kikosi kikasonga mbele kwenda kijijini ,wanakijiji walichezea kichapo siku tatu mfululizo ,Jamaa wa CCP wakashindwa tuliza mtiti siku ya nne defender kama 30 hivi zikazingira shule ndio msala ukazimwa
 
Nyama ilikuwa ni siku ya graduation tu shule moja ya serikali boys IR,maharage daily.
 

Mkuu hii ya harufu nafuu!!!! Sisi kipindi cha masika tulikuwa tunavua nguo kukwepa harufu; ukiingia msalani unatandaza gazeti juu ya tundu la choo. Unalikanyagia pande zote mvili; ukimaliza kushusha mzigo wako juu ya hilo gazeti na kujisafisha; unafungua mlango wa msalani, kisha unatoka kama risasi wakati mzigo uliopo juu ya gazeti ukishuka shimoni na ku-splash maji taka hadi juu ya bati la msalani🙂 Kwa kukosea timing na speed ya kutoka unajikuta umeoga kinyesi🙂
 
Tumeiba sana mahindi
Ya headmaster hadi tunakamatwa karibu shamba limeisha tunachomea kwenye shimo la taka kukamatwa faini laki mbili
 
Hahhahahah kuna vijana ni hatari kwa kutongoza mwee
 
Mambo ya kutoroka na madishi ya nyama nimeyafanya sana.

Nyie hamkuwa mkichunga ng'ombe?
Siku ya zamu yenu ya kuchunga ng'ome, mkijisikia hamu ya kula nyama, mnamsakizia ng'ombe jalalani akale mifuko ya rambo.
Akila tu, ujue kesho yake anachinjwa.
Tushaua sana ngo'mbe wakati nasoma boarding.
Nakumbuka siku ya visiting day....mgeni wako akija na lile 'shangazi kaja' utatembea nalo kichwani siku nzima ili uonekane kuwa tajiri siku hiyo.

Ila sie shule yetu ilikuwa na uchawi sana.
Waweza amka usiku uende kukojoa, ghafla unakutana na watu wamevaa nguo nyeupe wanaenda kuzika saa 9 usiku.
inabidi usizi mpaka wapite.

Boarding raha sana....hasa ukiwa mtemi.
CC: MMAHE
Unakumbuka wale misukule kule shamba la mikorosho?
 
Kuombana vitu vidogo vidogo kama maandazi yaani vitu ambavyo kitaa huwezi fanya.Kiandazi kidogo tu na mshikaji naye utakuta anaomba naye apewa eti akatiwe.
 
Mkuu hiyo shule ipo Maeneo ya Kilimanjaro(Mwanga )au mbona kama ndo niliyosomea..??
 
Dah..miaka hiyo hostel ya jitegemee pale hakuna sheria kivile,masomo ya usiku mnachanganywa girls na boys,afande akiita roll call ya saa 4 watu wengi wanaenda bwenini kulala..wachache wenye mambo yao wanabaki,basi Mida ya kuanzia saa 5 usiku ni hatari mana mitungo ilikua inatokea mara kwa mara,sana sana siku za weekend!

Mungu nisamehe sikuwahi kushiriki(angalau nilikua nashuhidia ktk maficho) baadhi ya mitungo,sasa mwaka Fulani akaja kigoli moja kidato cha kwanza,white,cute..mtoto mbichi,one day kipindi tunakaribia kufunga shule,kakaingia ktk 18 za wahuni,tena walikua form three wakakapiga mtungo zaidi ya watatu...lakini issue I kugundulika na matron wao,mana Hao jamaa walikafanya sanaaaaa nahisi,kesi yake ilikua kubwa sana mana unaonekana mzazi wa Yule binti alikua na Cheo jeshini,na shule ya jeshi!!walifukuzwa kuanzia walioshiriki tukio mpaka walio piga Chabo bila Kula(nashukuru sikuiyo sikua lindo)

Sema sikuhizi sheria kibao..hayo mambo hamna pale,afande ORANDO anafanya yake.
 
sana tuu...ila kiboko ya yote ni nyeto ya kutumia nzi...dah
1.Dah sitosahau nyeto ya papai au mende ndani ya mto
2. form one unauwangalia mti wa mapeasi ulusiwi ata kuokota likiwa limeanguka
Form 2 unaluhusiwa kuokota na kumpelekea form 3 au form 4. Na form 3 analuhusiwa kuokota na kula kama form 4 hayupo, ila form 4 analuhusiwa kuokota na kutungua na kula. Gambian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…