Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

I see!!!Class of 2008??!!Kumbe humu tupo na watoto wetu bila kujijua.
Kibosho Girls 2008....A school of my "Step-girl"....Humu tunajadiliana na watoto zetu kabisaaaa...
Hujambo mwanangu lakini?
Aise
 
Lyamacha...lyamungo boys machame girls Umbwe wakata wakata kuvunja huo umoja ila walishindwa

Siku za Gradu anza za kidini mpaka za shule mkipata mwaliko toka girls hata kama unaumwa siku iyo utapona tuu

Kwenda debate shule za girls utavua nguo utapasi na kuomba shati linalongaa vizuri
 
Nilisingizia naumwa sipaswi kula maharage nikawa napewa chakula maalum. Hakuna habari za kuosha madishi wala kula kwenye magroup. [emoji3]
 
Kuchemsha kwa siri maji ya kuoga kwa heater
 
Mmhh hiyo yenu haikuwa shule lilikuwa gereza..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…