ngoja nianze na hapa.
kuhusu flagship ya nokia
si kweli mkuu kwamba hamna flagship mwaka huu na wala elop hajasema bali ni maneno yako, kuna flagship mbili zinakuja before flagship ya mwisho wa mwaka na hizi ni codename zake
-laser version kama ya lumia 920 itayokua nyembamba na kutumia aluminium
-catwalk pureview mpya yenye 41 megapixel
mimi nimeangalia live event ya mwc mwaka huu ya nokia na video zipo kauli yake elop amesema wameleta feature za high end kwenye low end na akapromise muda si mrefu wataleta more
innovation kwenye high end
sasa hv nokia hawez toa flagship sababu anasubiria update mpya ya gdr ili wp8 isuport full hd then ndo atoe simu hawez toa simu ya 720p tena.
kuhusu wireless charge
mkuu unamfahamu king wa 5 inch smartphone??? Anaitwa dell. Yap dell huyu huyu dell strike ndo ilikua simu/tablet ya kwanza kua na nchi 5 lakini sababu ni dell imefeli kina samsung/apple/sony na mafans wao (mazombie wa simu) walisema ni kubwa sana. Ila katoa samsung galaxy note imekua bonge la idea inovation ya ukweli, then dell kabaki forgotten hero.
Nokia kaleta wireless charge mazombie wa simu ambao mpo brainwashed tayari mnasema haina maana ipo slow sababu tu katoa nokia
MAMBO YA NGOSWE AACHIWE NGOSWE
mkuu sidhani hata kama unavijua vitu vya kuchajia vipoje
1. Jbl power up
mkuu hii ni speaker inayochaji simu, imagine unaskiliza mziki na simu yako kwenye speaker chaji inavyoisha haraka. Hasa speaker kama hizi za bluetooth then kwa kutumia speaker hii instead ya chaji kuisha inajaa je ni faida au hasara? Fikiria kijana usikurupuke.
2. Car stand charger
mkuu sifa ya map za nokia ni turn by turn navigation yenye sauti (hadi za kiswahili zipo). Mfano nataka kutoka mwenge niende posta simu yangu itanambia njia ya kupita. Hii inatumia gps na gps inakula sana charge usiskie so unahitaji kitu kama hico wakati unaelekezwa na simu inajichaji. Hiki kinakaa juu ya dashboard ya gari.
faida nyengine za wireless charge Huhitaji kuhakikisha charge inaingia au haingii maana haitumii waya. Sometime unakuta unachomeka cable ya charger kwenye simu unajua simu inaingia chaji kumbe haingii (sisi ni mashahidi wa hili) kwa kutumia hizi just unaeka simu juu unamaliza.
uslow wa processor
tunaopenda tech wote tunajua processor kubwa ni kwa os inayolag (android), hata ikiekwa quad core inalag. Nafkiri cha muhimu tujiulize swali je 920 ipo slow?
Galaxy s3 ina quadcore wakati lumia 920 ina dualcore lakino still 920 ipo fasta kwenye kuboot na kuopen apss review nyingi zishafanyika reason ni kua wp ipo very fast,
usisahau mtoto mdogo lumia 620 amemshinda galaxy s3 kwenye mambo mengi japo ana dual core ya 1ghz (simu ya laki 4 kumshinda wa milion na kitu)
iphone 5 ina 1.2ghz dual core na still ipo fast kuliko android yoyote ile so mkuu cha muhimu so ukubwa wa processor bali uharaka wa simu
lumia 920 nzito
yap nakubali nzito lakini imara, ntajie katika hizo simu zako ipi imara kuliko 920? Lazma uweweseke hapo. Na simu ispokua imara inamaana utanunua case ya kuilinda na case itaongeza uzito at the end lumia itakua nyepesi, na sku zote case inaondoa ladha ya simu maana design haionekani.
camera megapixel chache
woow una roho ngumu hili ndio eneo ambalo nokia ni unbeaten kaka
-lumia 920 king wa low light, optical image stabilization
-808 king wa day light na zooming.
Even mtoto mdogo wa juzi lumia 720 (simu ya laki 5) amemshinda htc one kwenye low light na mikwara yooote ya htc ile hahaha very fun poor htc.
Unasema nokia wapo poor kwenye competition? Are u serious? Lumia imeface tatizo la supply q4 simu zote walizotengeneza wameuza sasa hivi nokia anahaha kutafuta viwanda vyengine ili atengeneze simu nyingi demand imekua kubwa kuliko supply.
Umeskia vietnam? Nokia anatengeneza kiwanda ili kusolve hili tatizo ameshaajiri watu 4000. Nokia alikua anafanya restructuring, dont under estimate kampuni yenye umri wa miaka 140.