Fla. church to host a 'Burn a Koran Day' on Sept. 11

Ugomvi wa dini unashida nyingi na hautakaa uishe hadi Yesu atakaporudi. Tatizo kubwa katika dini ni kuwa na kundi kubwa la watu wasiojua undani wa dini hizo na wanafuata mkumbo na mafundisho kidogo wanayopewa kulinda dini zao.Muislam aliyesoma pande zote mbili za imani yake anajua kuwa dini yao ni ya ibilisi ila anakuwa na mikataba mikali ambayo akiiasi anakufa mara moja hivyo anateseka huku akijua ukweli lakini ameshanasa mtegoni.

Kuchoma kitabu kunaweza kusiwasaidie waisilam kumjua Yesu kama ningepata namna ya kuongea na huyo mchungaji wa hilo kanisa ningemshauri atafute namna ya kuwaleta waisilam kwa Yesu ili awaokoe na Jehanamu ya moto badala ya kuchoma kitabu

Na mkristo anayejua kuwa Yesu sio mwana wa mungu anajua kabisa kuwa waislamu wanalolizungumza ni kweli ila tu mikataba aliyojifunga na kanisa inamzuia kuhama dini yake.

At least wewe umezungumza point ya kuwa na mdahalo au majadiliano na sio yule mwehu wa Florida anayechoma misahafu bila ya sababu.
 
NOMA[1].jpg
Haya bandugu,
kwa mtizamo wake kaona sawa Kabisaa!!
 
This action is contrary to the teachings of Jesus Christ and, in my view, is heartbreakingly irresponsible. Has the pastor of the Florida congregation in question forgotten Jesus' exhortation to 'Love our enemies and those who persecute us' (Matt 5: 44), love our enemies and 'do good to those who do ill to us' (Luke 6: 27-35).
The antagonistic stance taken by the pastor in question flies directly in the face of the foundations of our faith. Additionally, such actions or suggestions merely serve to prevent those most deeply hurt by the events of 9/11 from truly finding healing and peace, for the wounds are ever kept open and raw.
Even in the heat of anger and deeply emotional urges, it is my prayer that, rather than the burning of books, the pastor and congregation meditate upon these gems of scripture, along with Romans 12: 12-21 (especially verse 14 onwards) in which St. Paul outlines the behaviour and responses that will lead to healing and transformation. A night vigil of prayer and fasting, praying for all who have been caught up in this sorry mess from 2001 onwards, along with sharing and contemplation of Holy Scripture (the passages above form an excellent foundation) will accomplish far, far more than a moment’s act of revenge ever will. Indeed, the above words of Scripture roundly provide sound council against such practices as the proposed retaliatory activity.
IN conclusion, I urge everybody reading and commenting upon this article to pray for the pastor and his flock, that they are truly open to the outworking of the Holy Spirit, coming together as members of the Body of Christ to support, uphold, encourage and comfort one another. Yes, cry out to the Lord from the depths of the heart, but offer it up to God, the anger, the pain, the grief, the soul-felt wounds, and while doing so, consider this;

The lost I will seek out,
The strayed I will bring back,
The injured I will bind up,
The sick I will heal,
Shepherding them rightly.
—(Ezekiel 34:16)

Let us uphold the pastor, congregation and those who may be adversely affected in prayer, that through trust in our loving heavenly Father, peace prevails and the Reign of God is advanced.
 
yap. I think Islam is of the devil, hawajakosea kabisa. huo ndio ukweli wake. si ndo maana unaruhusu kufuga majini na kusilimisha majini? kwasababu majini ni ndugu zao. alichoanzisha obama kuruhusu waislam wajenge kituo cha kiislam pale ambap waislam wenzao waliwaua raia wema, ameanzisha bom ambalo litaisumbua sana na kuigawa america kuliko hivi tunavyoiona. itasababisha chuki dhidi ya waislam kuongezeka, waislam ambao ni only two million kati ya mamia ya wakristo wenye msimamo mkali. haiingii akilini kuona sehemu ambao waislam waliwaua raia wema inataka kujengwa kituo cha kiislam. and that will never be accepted nakwambieni.

What a dreadful idea from radical zealots calling themselves Christian.
Extremists in any religious or secular institution cause so much harm and grief with narrow perceptions.
All of us need to ask the Holy Spirit to fill us with the Gifts and Fruits that enlighten and strengthen us.
 
Wanachafusha jina la "mkristo" pamoja na jina la Yesu mwenyewe. Huyu kiongozi wao Terry Jones anajulikana kama mwongo - mwaka 2002 alihukumiwa na mahakama nchini Ujerumani alikoishi wakati ule kwa kujiita "Dr. Jones" ilhali hana cheo hiki (alipaswakulipa faini ya TSh mio 6). Baadaye alifukuzwa katika kanisa aliloongoza Ujerumani kutokana na kupotea kwa pesa za kanisa.
Koran-burning pastor's German parishioners shocked by plans - Alan Nothnagle - Open Salon

Sasa anaongoza kikanisa cha watu 50 Florida na wajinga wengi wanamsaidia kuwa maarufu kwa kusambaza habari zake
(ninaogopa mimi nimekuwa sasa mmoja wao :-((( )
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom