Fj imetekwa?????????

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
321
jana bana mazoea kweli yanatabu,kila nikifungua inagoma nikamuendea mtu wa IT hapa job na kuanza kugombana nae kwamba kwann wanablok sites?jamaaa innocently akaniambia sio mm nadhani Head office ambayo iko nje ya Tz,kwakweli nilikuwa mnyonge sana jana,nikajua maybe Jf imetekwa but nikaanza kujiuliza nani mwenye huo ujasiri wa kuiteka?
Duh kumbe JF haijatekwa bana,kweli HAWATUWEZIIIIII
 
Mi nadhani walijaribu. Soma vizuri post ya MKJJ "kutoka kwa Invisible"
 
Hujambo kipenzi?Naona na wewe ni mmojawapo wa wenye addiction.
Sasa mbona unasema Fj? nimekuelewa lakini ,samahani kama nimekukwaza.
 
Dah the same to me,nilianza kuhisi Administrator kaiblock,nikampigia meneja mmoja wa IT,naye ni mwana jf,akanitoa hofu watakuwa ni wenyewe tu,
 
nimeisoma injinia but ndivyo nilivyowaza jamaa wamekwamatwa maybe yani nikaanza kuwamiss watu hapa kibao
Mi nadhani walijaribu. Soma vizuri post ya MKJJ "kutoka kwa Invisible"
 
yani ww acha tu mamito nilishadata jana,kweli without JF my life is incomplete
Hujambo kipenzi?Naona na wewe ni mmojawapo wa wenye addiction.
Sasa mbona unasema Fj? nimekuelewa lakini ,samahani kama nimekukwaza.
 
pole ww kumbe tuko wengi
Dah the same to me,nilianza kuhisi Administrator kaiblock,nikampigia meneja mmoja wa IT,naye ni mwana jf,akanitoa hofu watakuwa ni wenyewe tu,
 
but nilijua utakuwa umeelewa tu jameni,duh hiyo ban ze banana mbn kama imekaa ki........,toa bana.
Haa haa haaa, yaani siku moja tu watu wameshasahau hata jina! 😀
 
hahahaha Pearl mbona umenichekesha ..ina maana kuna watu wanaingia msituni kwa ajili ya JF..Mie nilipata homa ya ghafla ..kumbe tiba ni JF

Pearl habu kamuulize invisible kama Ofisini kwake kuna ajira ???
 
Mwenzangu!we acha tu yani nilichanganikiwa jana c unakumbuka tuliongea?nikajua jamaa wametekwa bana,inadidi watupe ajira ili tikiwa jikoni tujue nn kinaendelea
hahahaha pearl mbona umenichekesha ..ina maana kuna watu wanaingia msituni kwa ajili ya jf..mie nilipata homa ya ghafla ..kumbe tiba ni jf

pearl habu kamuulize invisible kama ofisini kwake kuna ajira ???
 
Mi nikajua nimepigwa server ban bana.....japo sijafanya uhaini wowote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…