‘Fixed’?

Hii google translate imetafsiri vice versa kabisa naona
 
Mhuuuu?
Kama ni kweli mkulu anaumwa it is high time wale wanahusika na usalama wake wawajibishwe.

The conspiracy theory as narrated by Nyani sounds valid!

Looks Nyani is big at this! though he wants us to believe the opposite.
 
Nimeisoma hilo andiko la Kingereza na hili la kiswahili ila sijaelewa kilichoandikwa, kwa kifupi nimetoka kapa
 
Inteliigencia ya kukamata kina Lema na sugu na kupambana na Chadema? Halafu hiyo inteligensia ipo kwa maslahi ya nchi au kwa maslahi ya tabaka tawala? Kama ni kwa maslahi ya nchi basi ujue fixing anayosema mtoa mada ipo sahihi . Ila Kama ni kuwa maslahi ya wahuni wachache basi upo sahihi, magu asingeguswa.
Kama Inteliigencia ipo makini kwa Nini Mzee Mangula alilishwa sumu mbele ya rais Magufuli na Inteliigencia ilishindwa kujua?
 
Huh!?
 
Msiumize vichwa saana...
Kichwa cha habari ni kwamba "Yuko wapi na kwanini?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…