‘Fixed’?

Natamani siku moja Mods wakutanishe hii miamba miwili kwenye malumbano ya lugha.

Nyani Ngabu na Kiranga mna battle yenu itabidi muifanye. Nani ni nani kwenye kunyambulika na English
Nyani Ngabu tukikutana tutaongea Kisukuma nipate kujinoa lugha yangu, sijapata mtu wa kuongea naye Kisukuma siku nyingi sana.
 
Kwani kujua lugha laz
Kwani kujua lugha lazima uwe msomi? niachojua mimi lugha haihitaji usiomi bali ni ama umezaliwa nayo ama unakoishi kama ni usukumani inabidi uongee kisukuma kwa kuongea na wenyeji,ukienda Rungwe au Kyela kutokana na mazingira lazima utajua Kinyakyusa si kwa kwenda darasani bali kwa kusikia na kuongea na wenye lugha, kutunanga Watanzania kuwa tukasome wakati hata huko kwa wenye lugha wenyewe wapo wengi tu hawajui Kiingereza pamoja na kuwa Waingereza,sawa na hapa Watanzania sio wote wanajua Kiswahili
 
You can be 'fixed' and die after 5 yrs.

Slow death.
 
Usijidanganye; unaweza kujua kuongea kiingereza kwa kuishi katika mazingira ya watu wanoongea kiingereza tu, lakini huwezi kujua kusoma maandishi ya kiingereza bila kwenda shule. Hao unaowasema huenda walikuwa wanaishi na wazungu kwa hiyo wakajua kuongea, lakini hawezi kusoma. Mada iliyokuwapo hapao ni kwa watu kushindwa lusoma post ya Nyani kwa vile imeandikwa kiingereza, mpaka alipojitokze mtu mwingine kuitafsiri
 
Points zako zipo too surporting rather than denying.

Your post is more of Ironic
 
What happened in the Election? Can you prove the competence of your System against the rule of People?? Itz only ignorant people can believe what written here by you comedian !!!
 
Ummph same hunch here !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…