Kinana: Siwezi Kutamka "Asiye Sikia La Mkuu Kwenye Vyombo Vya Habari..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinana: Siwezi Kutamka "Asiye Sikia La Mkuu Kwenye Vyombo Vya Habari.....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 28, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Namfananisha Kinana na Waziri wa Ulinzi wa Iraq enzi za anguko la utawala wa Saddam Husein. Jamaa (muhammad Saeed al sahhaf) alikuwa anakanusha kila kitu kuhusu kuzidiwa na Wamarekani. Hata Wamarekani walipoingia Baghdad jamaa alikuwa ngangari kukanusha kuwa "hakuna kitu kama hicho, na kama wameingia basi makaburi yao yatakuwa hapahapa Baghdad". Ikafika mahali Baghdad ikatekwa, jamaa akasepa.

  Jana Kinana alikuwa akihojiwa na chombo kimoja cha habari cha kimataifa. Akaona amepata wasaa wa kujenga hoja isikike nchi nzima. Kwamba JK na mama yake walitukanwa "matusi makubwa ya nguoni ambayo ni aibu kuyatamka kwenye vyombo vya habari labda unitafute baadaye kwenye simu nitakwambia".

  Nilipofuatilia matusi yenyewe sikuamnini: Ati mbunge wa Temeke ametamka "Asiyefunzwa na Mamaye Atafunzwa na Ulimwengu" dhidi ya JK. Haya matusi? Vipi kauli ya Jk kuwa Watanzania waliokusanyika Mwembe Yanga wakati wa mkutano wa Dr. Slaa "ni majuha?".

  Nimemkubali kinana kuwa ni mtaalamu wa propaganda, lakini mwaka huu mjomba umefulia.
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Did you mean muhammad Saeed al sahhaf, the information minister?
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Probably, si unajua tena siku nyingi kidogo.
   
 4. b

  buckreef JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nasikia maneno yalikuwa zaidi ya hayo ya asiyefunzwa na mamake, fuatilia ukweli.
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinana hana tofauti na ...they are no where in Baghdad, wakati vifaru vya US vinakatiza mtaani Baghdad...sijui ndo mafunzo ya kijeshi unafiki mpaka mwisho ...kwi kwi kwiiiiiiii
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wasomali ndivyo walivyo.
   
Loading...