Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,665
- 21,099
- Thread starter
- #361
Naona tayari unafanya vizuri running/jogging and jumping ni mazoezi mazuri sana cha kuongeza hapo ni push ups, pull ups na dips na weightlifting kama biceps curls kama una vifaa. Ukifanya hivyo mwili utaanza kuwa toned.Mada nzuri sana, ninapenda kufanya mazoezi, japo wakati mwingine muda unakuwa issue, sikumbuki height yangu but nna 78kgs na kwa kweli nilishaambiwa angalau nifikishe 70. Sijawah hata kugusa. Sinwyi soda wala pombe, sili red meat, juice mara nyingi sana hutumia nyumbani. Nina watoto wawili, sina tumbo kiviiile but natamani lipungue zaidi. Nimekunywa maji ya limao na mdalasini (lemonade) yalochanganywa na asali, yamefanya mwili upungue japo uzito uko palepale, sina mazoea ya kula usiku mara nyingi, unlesa njaa iniume sana. Nikiwa na muda huwa nakimbia uwanja wa mpira mara mbili, naruka kamba mara 200-300, na mazoezi mengine ya tumbo.
Hivi sasa niko likizo pamoja na yote hayo nifanyayo nishaanza kujiona nagain weight. Ajabu sign ya kwanza kunionesha nimenenepa ni mikono. Yaani mikono ni mikubwa mno! Em nishaurini mazoezi ya kufanya nipungue kila kiungo cha mwili wangu, hasa mikono. Asanteni sana
Huwa nakazia sana kwenye push ups na pull ups sababu ni mazoezi yenye faida sana na unaweza fanyia popote ila watu huwa hawafanyi hivyo, wapo tayari kujaribu kila kitu isipokuwa hayo mazoezi.
Mwili kupungua huku unaongeza uzito ina maana muscle mass (misuli) imeongezeke ikumbukwe misuli ni mizito kuliko mafuta. Sio mbaya unless kama hutaki hivyo ila kwa wanaume wengi naamini wangefurahia