nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mambo mengi ya uchungu na kukatisha tamaa.
Uonevu ni sehemu ya riziki,
Chuki nazo zimejaa toka enzi na enzi,
Nilishuhudia pahala Boss anarogwa mchana kweupe, ili tu... amchukie jamaa ambaye ni jembe kwelikweli.
Haya mambo nilidhani ni kwetu uswahilini tu...lakini baada ya kutembea tembea,,,nimegundua waswahili pamoja na yoote bado tuna uhafadhali mkubwa sana.
Ubaguzi ni msingi wa yoote...kwa mfano mtu A anaijua kazi vizuri...lakini taabu ni kwamba si wa Taifa lao...baaasi fitina itapigwa....majungu yatatengenezwa.....utategeshewa mpaka sumu ili utangulie mbele za haki wapate kuweka mtu wao.
Hatari nyingine Boss akikubali inabidi uwe makini sana....hasa kwa walio kutangulia...manake wana uzoefu wa kutengeneza lolote ukajikuta matatani.
Epuka sana vikundi vya majungu na umbea...ukiona pahala wanamsema mtu....elewa ya kwamba na wewe baada ya kuwapa mgongo tu,,,unageuka kuwa TOPIC.
Epuka sana vizawadi zawadi kama vyakula ...mavazi,,,hela hasa cash unayopewa mkononi.
Kuwa makini sana kwenye vyoo vya kazini,,,huko kuna mambo.(hili ni somo pana sana)
Epuka lifti,,,hasa mida ya kutoka kazini.

>>>>>>>>>>>>>ITAENDELEA>>>>>>>>>>>>>>>>