Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

Dunia nzima!?.. waislam ni zaidi ya robo ya dunia,wapo kila nchi, UK wameshakua waziri mkuu, Scotland waziri 'mkuu',mamdani anatetemesha New York, biblia inasemaje kuhusu wahubiri wake kupigwa vita na wengi!?
Sawa kuwa waziri si hoja, wananchi hawawataki Waislam
 
Ukifanikiwa usabadili jina wala dini. Mayele anapotea muda mrefu kama Pogba, Kantรฉ, Mzize, Young Killer, Christian Benteke, Danny Williams, Mesut Ozil nk
 
Ataangaika awezavyo lakini mwisho wa siku asisahau kuitolea mizimu ya pale kwao DRC sadaka, ni jambo muhimu kwa mustakabali wakee, asijikite kuabudu mizimu ya watu wengine akasahau ya kwao
Ya kwao alishaachana nayo toka akiwa kwao kwa kuukumbatia galatians, alichofanya sasa ni muendelezo tu.
 
Hiyo sio habari ya kutuletea humu, mbona Kuna waislami wengi sana kwa Mwamposya
 
Anataka mke 4.
 
kupinga ni is just about little knowkedge on ISLAM concepts....Kama ni mfuatliaji mzuri utaona baadhi ya watu duniani waliokuwa front line ktk ant islam..namna ambavyo wali convert na kujutia....Wengine kwa kuisoma In open mind, wengine kwa kushuhudia real practices,.etc ..
Ninao friends engeniers and doctor ambao walioishi huko na wali convert..na kutengwa na familia zao kuwashangaa....imagine...!!

Giza NENE... inategemea ume- raise ktk jamii gani, ...exposed ktk mazingira gani..., affected na media kiasi gani...

Ukiwa nje ya propaganda za anti muslim ,, na uka- reason In open mind, basi usipoona ukweli basi fahamu moyo wako ushapigwa MUHURI. ..

It is so logical ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ