Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

Kusema ukweli Fiston Kalala Mayele, alikuwa ni mtu na nusu. Na ndiyo maana pengo lake mpaka muda huu pale Jangwani, bado halijazibwa.
 
Kwani alikuwa na bao moja hata sii ndiyo ana haya mabao mawili tu kwa sasa tangu ahamie hapo.
 
Mayeeeeeeeeeleee
Screenshot_20231108-202122_AiScore.jpg
 
Nimeangalia join date yako nimekusamehe bure mdogo wangu, hakuna shabiki mkuu wa Yanga kwa wanawake hapa JF kunizidi, mimi ni Yanga damu!
Uwe unakuja kwenye matukio live, kwenye thread kidogo sipo active.

Na nilipotea kiasi, so ni ngumu kunijua.
Nifah,

nasikia baada ya ule 'Utapeli' wenu pale Jangid Plaza, ukapigwa chini na mshikaji wako, hadi leo unabutuliwa hovyo na masela. Hujapata mtu wa kudumu?
 
jamaa wamerusha majini yote atulie ya.eshindikana unaambiwa akiona ya congo yana exp anaondoka hata usiku na ndege anarudi kesho yakr

Kama mambo ya niyonxima Enzo za yanga powerbank iki exp anaenda aghakan anapigwa hogo viongozi wanambiwa kaumia huyoo Rwanda akirudi nyoko yokolileee qlogeki
 
Back
Top Bottom