Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,155
- 3,801
Niko Kanda ya ziwa. Ufugaj wa samaki kwa njia ya 'cages' nimekuta ni uwekezaji mzuri kwa faida ya maana kama nilivyoshuhudia Uganda.
Anayejua undani wa ufugaji huu na risks zake na sheria zinazosimamia maji na mazingira anijuze ingawa ninazo fundamental substances za mradi husika.
Nahitaj kuanzisha na anayehitaji tushirikiane, tuwasiliane kupashana.