Hivi karibu Serikali ya CCM kupitia Tingatinga lake Mgombea Urais ilinunua boti/ meli kwa ajili ya eti kupunguza foleni Barabara ya Dar kwenda Bagamoyo.Boti hiyo imenunuliwa kwa Kodi za Masikini Wa liochoka kwa shs.Bilioni 8.Tingatinga kama kawaida yake Mzee Wa kujisifu aliuambia umma Wa watanzania kuwa boti itapunguza msongamano Wa Barabara Na itatumia muda mfupi kufika Bagamoyo.Ukweli imethibitika kuwa
1.Boti sio mpya ni chakavu
2. Boti inatumia Massaa 4 mpaka Bagamoyo
3. Boti ya Azam ambayo no mpya Lady Zanzibar imenunuliwa Bilioni 6 Na inatumia SAA 1.30 mpaka Zanzibar.
Hitimisho
Huo ni wizi Wa mchana unaofanywa Na viongozi wetu Wa kununua Mali chakavu kwa bei kubwa .Viongozi hao Leo wanasimama majukwaani kutaka kura zetu .Watanzania tusikubali kudanganywa .Ufisadi mkubwa sana.