Time Mama FL1, na inabidi MUNGU aplay role yake sana hapo
kweli mungu ata play role yake Muulize Ben na GS wakupe siri ya mafanikio yao
Ben naomba siri ya mafanikio yenu. Am serious kwenye hili zaidi ya yote, pleaseHa ha haaaah,asubiri tutoke honeymoon....
Kumbukumbu la torati linasema 16:1-15
Mkamchinjie Bwana Pasaka, na isionekane kilichitiwa chachu nyumabani kwako kwa siku saba, hata hiyo nyama utakayochinja, na isilale, iliewe yote kabla ya machweo. Na pasaka huyo usimchinjie ndani, bali sehemu utakayoichagua.
sio word to word...........Sadaka ya kuteketezwa.........kambuzi lazima kaanguke Pasaka bana.
Ben naomba siri ya mafanikio yenu. Am serious kwenye hili zaidi ya yote, please
Jamani, Nyamayao umerudi. I love you my dear. Ulipotelea wapi wewe? Mpaka nikakuulizia. Asante kwa kuja tena. KaribuBirigita plz naomba nikumbushe jina lako la ubatizo...yaani ckusomi kbsa....Bwana akubariki.
Ameeeeen!!!Birigita plz naomba nikumbushe jina lako la ubatizo...yaani ckusomi kbsa....Bwana akubariki.
Mwambie hekima wewe ndiye umbu langu, umwite ufahamu ndugu ya jamaa yako mwanamke ...Mithali 6:4Jamani, Nyamayao umerudi. I love you my dear. Ulipotelea wapi wewe? Mpaka nikakuulizia. Asante kwa kuja tena. Karibu
Kweli Kwaresima imekwishaMwambie hekima wewe ndiye umbu langu, umwite ufahamu ndugu ya jamaa yako mwanamke ...Mithali 6:4
Birigita plz naomba nikumbushe jina lako la ubatizo...yaani ckusomi kbsa....Bwana akubariki.
Jamani, Nyamayao umerudi. I love you my dear. Ulipotelea wapi wewe? Mpaka nikakuulizia. Asante kwa kuja tena. Karibu
Birigita nashukuru sana kwa kunikaribisha, love u 2 swity, niambie bac jamani..aiiii wewee, ni pm love.
Kweli ni huzuuni, kwa kifo cha bwana yeesu!!Kweli Kwaresima imekwisha
Nipo kwenye tafakuri...........nitakuendea hewani baadae.Birigita nashukuru sana kwa kunikaribisha, love u 2 swity, niambie bac jamani..aiiii wewee, ni pm love.
Mkuu kwani uko na Bible hapo kwenye keyboard yako? Dah!! Angalia nisichelewe misa bana kwani verse zako zinanifurahisha na kunielemishaNao walipokuwa wakila, aliutwaa mkate, akaumega, akaubariki, akawapa akisema twaeni, huu ndio mwili wangu, akafanya vivyo hivyo kwa divai..........hii ndiyo damu yangu imwagikayo kwa ajili ya wengi...Marko 14: 22 na kuendelea...
bado nimo bana!! tafakuri ya paska!!
Hii ndio inawashindaga wengi Mkuu, unakuta jirani hajala wiki nzima lakini yeye anaenda kutupa vyakula vilivyoozea kwenye friji kwa kukosa walajiNa ya pili ndiyo hiii......mpende jirani yako kama nafsi yako. I love you mwaw!!!
Mi bado wa moto moto kabisa, teolojia hata cheti hakijaanza kupauka.Mkuu kwani uko na Bible hapo kwenye keyboard yako? Dah!! Angalia nisichelewe misa bana kwani verse zako zinanifurahisha na kunielemisha
Mkubwa, hapa ndo mi huwa nakuwa mkali kama pilipili home kwangu!!!Hii ndio inawashindaga wengi Mkuu, unakuta jirani hajala wiki nzima lakini yeye anaenda kutupa vyakula vilivyoozea kwenye friji kwa kukosa walaji