Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kwanini wasiitwe watoto wa sitta
"First years" ndo kitu gani?
Wanachuo wa mwaka wa kwanza. Swali la nyongeza?
Wanachuo wa mwaka wa kwanza ndo wanaitwa "first years"?
Ndiyo.Huamini?
Siyo kwamba siamini. Ni najua hawaitwi "first years" kwa Kiingereza.
Wanaitwaje? Jadili hoja kama umeielewa vyovyote.Hili si darasa la lugha
Hawaitwi "first years".
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA
Wadau mnasemaje?
Sawa. Wewe ulijuaje kama nawazungumzia hao unaosema hawaitwi hivyo? Pendekeza jina ha ha ha ha