aje kufanya nini?Ngoja joseverest aje
nenda kwenye uzi mwingine wakakupe ushauriWadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
Nisaidie,kwan Uzi huu ni wakuchat nin?, wacha hivonenda kwenye uzi mwingine wakakupe ushauri
sio kila kitu cha kusaidiwaNisaidie,kwan Uzi huu ni wakuchat nin?, wacha hivo
OK,fine mungu akubalikisio kila kitu cha kusaidiwa
Angalia hata content inayotolewaMkuu ulizo ziongelea hapo asilimia kubwa ni mpya bado product yake haijaonekana mtaani tusubiri tuione kisha ndo tujudge. Ni hayo tu
poaOK,fine mungu akubaliki
mzumbe wako vizuri kwenye law kuliko udHiyo d mkuu hadi law?
sina uhakika, ila nadhani maana yake TCU wamesha approve. sasa kama unataka kwenda UDSM, basi nenda ukafanye registration mapema ili upate uhakika kuwa nafasi yako ipo. otherwise Udom pia si kibaya depending na course gani unataka kusoma.Wadau msaada kidogo hapa, nimechaguliwa udsm na udom,udsm kwenye profile yangu walinipongeza na wakatoa remarks kuwa ,pending TCU approval, nikatulia,udom wakatoa majina nikawemo pia,usiku wa Jana wakanitumia SMS ya hongera na kunitaka nithibitishe kama Nita enda udom,nikathibitisha,kwa maana niende udom, sasa narudi kwa file la udsm nakuta ile remarks haipo ,sasa maana yake ni nin?,
Utofauti ni nn acheni kudanganyana vijana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi mwenyewe. Course content vyuo vingi huwa vnafanana. Utofauti unafanywa na mwanafunzi..Mkuu nakubalia na ww telecommunications ya D.I.T na udsm tofauti