First year 2012/2013 prayer to heslb

Pigia picha mtu kachaguliwa MD at a Private Institution tuition fee ni 5Mil then mkopo NIL si ata paralyze huyu
 
ZE DUDUZ nakutabiria utapata aslimia zaidi ya 80 sasa basi ukipata vocha inihusu usipotimiza ahadi hii uta DISCO

Hahahahah itakuwa pouwa sana and sure nikipata iyo kitu naku2mia buku 2 cha kufanya utani PM namba yako mkuu
 
Pigia picha mtu kachaguliwa MD at a Private Institution tuition fee ni 5Mil then mkopo NIL si ata paralyze huyu

uwo ni ukweli kabisa mkuu !! Bt ishu iko kwa wale walioapply hubert kahiruki kitu M5 na usheee xo mpango mzma akipata iyo 100% ana kitu cha M3 kinamsubilia Pembeni
 
Mimi naona kwa level hii tuliofika ni muhimu sana kwa taifa letu hivyo hakuna sababu ya kuwanyima mikopo,sema tu serikali yetu inamacho lakini haioni na inamasikio lakini hayasikii
 
Mimi naona kwa level hii tuliofika ni muhimu sana kwa taifa letu hivyo hakuna sababu ya kuwanyima mikopo,sema tu serikali yetu inamacho lakini haioni na inamasikio lakini hayasikii

daah kuna ka ukwel ndan yake
 
ni maajabu m2 kuomba trna kwa kutania namna hiii hivi leo hao HESLB wanachukua nafasi ya Muumba wako? c bora tumuombe mungu awawezeshe hao HESLB kuliko kumkufuru namna hiyo!!!!!!!!!! ehee mola wasaidie wale wote wakutegemeao kupata mkopo huo wa heslb kama mie na wote wenye kukutegemea eeeeee mola 2saidie
 
Mkopo wanatukopesha means tutalipa so haina maana yoyote kubaniana mikopo kwa ajili ya elimu while wao vikao vya usiku na wizi wakilipana mamilion,kukosekana kwa nia thabiti ya viongozi wetu kuhusu elimu ndo inayo2maliza.
 
Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utusamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa EPA & BOT usitutie katika Migomo lakini utuokoe na Ukame wa Pesa Aaameeen....

hahaahhahahaha...kweli ugumu wa maisha huongeza thinking capacity!!!! tuombe mungu tupate loan maana bila hivyo watu tutavamia hata kule kwa dhaifu au ilipo benki kubwa nchini!!!!
 
Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utusamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa EPA & BOT usitutie katika Migomo lakini utuokoe na Ukame wa Pesa Aaameeen....

let it be so
 
Kwel boom sabuni ya roho,heslb muitoe mwache ub*sh* ,kwel boom linaleta faraja,ndo mana tunalilia boom,ndo mana tuliaply boom,na waskaj vyuon wanalisubiria
 
Watu wanaogopa kucheza kamari ndogo mtu anayoliwa sh.100 wanacheza kamari ya sh.40000 hslb(hii ni pamoja na mms ya kutuma fomu).sijui huo ni ujanja gani?
 
Back
Top Bottom