First year 2012/2013 prayer to heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First year 2012/2013 prayer to heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ze duduz, Aug 28, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utusamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa EPA & BOT usitutie katika Migomo lakini utuokoe na Ukame wa Pesa Aaameeen....
   
 2. t

  tan 90 Senior Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mwana umetisha. . .hahahahahaha duh umenichekesha mr bvm.
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mkuu haya Mambo hayatabiriki unaweza kuta mtoto wa kigogo kajaza kitu cha non-priority na ana dvn 3 ya point 17 mwisho wa siku analamba 100% na watoto wa wakulima wamegonga dvn 1 zao kali na wamesoma shule za kata afu wamejazaa kozi zenye priority kama bsc in eductn, MD, Pharmacy na BVM mwisho wa siku analamba 0% au wakati mwingne kitu cha Nil !!
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala saa ambayo HESLB watatunyongea baharini na damu kwenda na maji,
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  ndo ivyo mkuu !! Yaani hapa nilipo naomba nipate hata ka 60% chn Ya hapo na suspend huu mwaka siendi chuo
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hahahaha! We mkali.
   
 7. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mkuu naona huna preshaaaaaaa !! Hahahah we mtoto wa kigogo au?
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh!! kitu mean testing kina nipa homa, Ila jamaa wamechelewesha mzigo aiseee mid September baadhi ya vyuo wanafungua na mpaka sasa watu hawajui wamelamba % ngapi
   
 9. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Axee utata uko hapa,pakikaa vibaya hapa unaweza ukasukuma mwaka kitaa!
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Then next year wana bana masharti zaidi,
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  umeonaaah !! EEeh itakuwa pouwa xana kama wakiaachia kitu mwanzon mwa septmbr ili kujua ka tunaenda chuo au laaaah
   
 12. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mkuu kitaaa kigumu balaaa Yaani huku hakushikiki kabixaaaaa !!
   
 13. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Cha msingi get down to your God that you believe and pray for his graces,vinginevyo majamaa hawatabiliki!
   
 14. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli jamaa kitaa kigumu especially ukiwa huna kitu cha kufanya kukuingizia kipato,bora watoe tujue ka uko sua kunaendeka au la!
   
 15. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Yaani safari ya SUA Ikatishwe na mkopo daah itauma balaa
   
 16. M

  Mgimiloko Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli utratraaaaaaaaaa......roho juuu!!!
   
 17. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ZE DUDUZ nakutabiria utapata aslimia zaidi ya 80 sasa basi ukipata vocha inihusu usipotimiza ahadi hii uta DISCO
   
 18. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi cjui wakinibania huo mkopo cjui ntafanya nini sasa maana hata ndoo ya maji inanishinda kubeba..GOD help us
   
 19. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa mama sio..
   
 20. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  tatizo letu tanzania ni UMASKINI
   
Loading...