First Scientific Proof Of God Found

First Scientific Proof Of God Found

DNA-97518049267.jpeg
 
The existence of all what you know and their nature proves that god exists.
 
Fanya angalau ka research kabla ya kuropoka kwa wenye akili.

Faith is the EVIDENCE, I repeat EVIDENCE of things hoped for. You can not comprehend this na tuelimu twenu njaa twa Community Collage.

upande mmoja unasema faith is evidence , upande wa pili unasema faith is hope, someone is missing even a simple logic comprehension??? huyu jamaa tulishakubaliana nae ana matatizo ya akili!!!

ukishaongelea hope ushajiweka ktk kundi la watu wasio na uhakika!!!!
 
hahahahaha, kaazi kwelikweli, kitu usichokijua unapojifanya unakijua mwisho wake ni embarrassment tu:tape2:! kwa hiyo wewe ukiona website tu ushaamini kuna taasisi kama hiyo? hebu anuani ya hiyo taasisi, online eeh? Oh..halafu wao ndiyo walitengeza pua ya Michael jackson...kwiikwiikwiii! pamadaku.
labda tukusaidie kwa taarifa yako tu, hiyo website ni satire, kuna website nyingi za namna hiyo na wengine wameweka disclaimer kabisa kwamba habari au maandiko wanayochapicha ni kwa ajili ya kufurahisha jamii tu (jiridhishe Home Page - Real or Satire?). Tatizo mnajifungia sana jf kubishana: Scientific "proof" of God found : skeptic
 
Simple sentence you can't even read it correctly.

Faith is the EVIDENCE, I repeat EVIDENCE of things hoped for. You can not comprehend this na tuelimu twenu njaa twa Community Collage.

NOW SHOW ME, where id I say FAITH IS HOPE?
 
hahahahaha, kaazi kwelikweli, kitu usichokijua unapojifanya unakijua mwisho wake ni embarrassment tu:tape2:! kwa hiyo wewe ukiona website tu ushaamini kuna taasisi kama hiyo? hebu anuani ya hiyo taasisi, online eeh? Oh..halafu wao ndiyo walitengeza pua ya Michael jackson...kwiikwiikwiii! pamadaku.
labda tukusaidie kwa taarifa yako tu, hiyo website ni satire, kuna website nyingi za namna hiyo na wengine wameweka disclaimer kabisa kwamba habari au maandiko wanayochapicha ni kwa ajili ya kufurahisha jamii tu (jiridhishe Home Page - Real or Satire?). Tatizo mnajifungia sana jf kubishana: Scientific "proof" of God found : skeptic

When you refute something, bring heretofore, impeccable exhibits. I don't have time with diabolical malarkey. If you are ready and willing to suffer intellectual defeat, let us debate.
 
haha nlikua napita tu kutafuta post ya Kiranga na Ishmael nijue wamejibu nini, wakianza kubishana hii thread lazima tufike page 20
 
Hao hawajawahi kubishana kwasababu mmoja anamuogopa mwenzie .....

Sikuwahi kuona mtu anaogoa maandishi ya mtu aisee!!
 
When you refute something, bring heretofore, impeccable exhibits. I don't have time with diabolical malarkey. If you are ready and willing to suffer intellectual defeat, let us debate.

hahahhaa, intellectual defeat kwa quotation za kutoka "Wyoming Institute of Technology"..sheesh!:heh:
 
Hii ni shida. Haya mambo hayanaga mwisho. Wanasema wenyewe
 
Mkuu unaua mende kwa atomic bomb ....!!
Kiongozi, God Haters hawajui kusoma zaidi ya ukaririsho na ukilema wa akili. Yaani mtu unaandika kitu, vijana wa pinga Mungu wanatoka povu kama vile walikula Omo.
 
Mungu Hayupo kama yupo lete hapa ushahidi wa uwepo wake!,
 
That is an old line which died because of lack of evidence and for self refutation. If you have the ability to refute the existence of God with evidence and ready to be defeated intellectually. Let us debate.

@free Ideas you are a non theists, isn't it? If non theism were fallible, then per your belief you would be a chemically determined animal with no free-will to choose anything - including your thoughts expressed here. Your non theism cuts it's own throat. In fact, there will be no good or evil in you since morals exists because of God.

If you are ready to debate, why do you believe no God exists when you have no evidence or arguments to justify that belief?
 
Back
Top Bottom