RobyMi thd IDE isbhosted on private git repo so it's hard to file bugs/feature request directly. Nita install bug tracker somewhere na kuweka Link hapa.
Hilo tatizo sijaelewa bado, kwamba kwenye Preference ni preview pekee ndio ina default 1pt au hata kwenye Editor?
Maoni yako unaonaje?
I'm still intereseted..Anyone still interested?
Friendly speaking , nakushauri kuachana na hii project ya kutengeneza editor(software) coz utaweza kukompit na waliotangualia ni bora utafute PROBLEMS katika nchi hii na kusolve kwa njia ya IT coz itakulipa. Matatizo ni mengi sana ya kusolve kwa nchi yetu kama ukiwa serious kufuatilia kiundani kuliko kudili na kitu ambacho uwez pata supporter zaidi ya kusifia basi. Developer wengi sana kwa sasa watumia PHP Storm , Atom na zote ni IDE na ziko juu kwel kwel. Sina nia ya kukatisha tamaa niko hapa kama kukashauri uweke nguvu nying kwel kitu ambacho ni PROBLEMS kwa watu.
Kwa kumalizia ni kwel umefanya kitu kizuri na umeonesha uwezi wa hali ya juu ila ujasolve tatizo.
Hapa ndugu yangu umechemsha!!Friendly speaking , nakushauri kuachana na hii project ya kutengeneza editor(software) coz utaweza kukompit na waliotangualia ni bora utafute PROBLEMS katika nchi hii na kusolve kwa njia ya IT coz itakulipa. Matatizo ni mengi sana ya kusolve kwa nchi yetu kama ukiwa serious kufuatilia kiundani kuliko kudili na kitu ambacho uwez pata supporter zaidi ya kusifia basi. Developer wengi sana kwa sasa watumia PHP Storm , Atom na zote ni IDE na ziko juu kwel kwel. Sina nia ya kukatisha tamaa niko hapa kama kukashauri uweke nguvu nying kwel kitu ambacho ni PROBLEMS kwa watu.
Kwa kumalizia ni kwel umefanya kitu kizuri na umeonesha uwezi wa hali ya juu ila ujasolve tatizo.
Friendly speaking , nakushauri kuachana na hii project ya kutengeneza editor(software) coz utaweza kukompit na waliotangualia ni bora utafute PROBLEMS katika nchi hii na kusolve kwa njia ya IT coz itakulipa. Matatizo ni mengi sana ya kusolve kwa nchi yetu kama ukiwa serious kufuatilia kiundani kuliko kudili na kitu ambacho uwez pata supporter zaidi ya kusifia basi. Developer wengi sana kwa sasa watumia PHP Storm , Atom na zote ni IDE na ziko juu kwel kwel. Sina nia ya kukatisha tamaa niko hapa kama kukashauri uweke nguvu nying kwel kitu ambacho ni PROBLEMS kwa watu.
Kwa kumalizia ni kwel umefanya kitu kizuri na umeonesha uwezi wa hali ya juu ila ujasolve tatizo.
Nimejifunza sana kwenye komenti yako hii, coding ni kama art inaanzia ndani kwa mtu yani ni zaidi ya kupiga tu pesa.Duuh!
Sijui mitazamo ya wadau wengine utakua vipi kuhusu comment yako ambayo inaonesha kupotosha!
Ila kama mentality ya developers wote ingekua hii sijui Ulimwengu wa Tehama ungekua vipi?
Unafikiri hata hiyo Atom Text editor waloitengeneza walikusudia kupata hela au kuwapita makampuni kama JetBrains wanaotengeneza hizi IDE?
Ukiona mtu kafika stage ya ku develop IDE maana yake he/she is at Good level na kwa ku develop IDE maana yake anaendelea kuzipeleka Skills zake to the Next High level katika organization na management ya Projects kubwa maana naamini kutengeneza hiyo IDE unakua una deal na some thousand lines of code!
Just because kuna Mozilla firefox au Google chrome hakuzui uwepo wa browsers kama Dooble au QtWeb e.t.c
Na hii hainizuii mm ku attempt ku develop kitu kama hicho...sababu thru development ndivo unavokuza skills.
Mm najua haya yote unayajua ila tu labda ulijitoa ufahamu!
Labda kuna msemo popular wa Linux nkutupie utakubadilisha mentality
View attachment 477233
hahahaaaHapa ndugu yangu umechemsha!!
Niko natumia windows 10Anyone still interested?
Yes, much respect to himDamn!! When you see what other programmers are capable of, huna jinsi zaidi ya kuwa humbled. Much respect to you brother.
That's where men such as Donald Knuth, Jeff Dean and John Carmack can be found.Programming is like a ladder, you climb one element at a time. Keep climbing brother and see you at the top