First Meeting na Kero zake

What is the problem with u..hivi unajua huwezi kunifundisha mahali na namna ya kutumia neno lolote hapa..mbona umepanic sana shida nini ..!? alafu una kaujuaji kanakusumbua kweli..


I accept sikufundishi ila nakupa tahadhari na kuku challenge tu!!!!!
Tumia maneno utakavyo ila unaowalenga wana hiari ya kukujibu au la pia!!!!
Sijapanic, m just cutting it to your size!!!!!
Ujuaji as in knowledge au education???!!!! Well i have some certificates, are you interested on those???!!!! I hope not;no significant relevance in this!!!!!
 

I said the relevance was the perception and attitude established there after; get to your drawing boards and figure it!!!!!
Ninachofanya ni kuondoa uzushi kuwa unafuatiliwa; kivipi???!! Sababu kuna tofauti ya kukufuatilia na ku reffer kwa ulichoandika ili kulinganisha na kilichopo kupata muunganiko ili kupima mapokeo ya vitu miongoni mwetu ili kuweza kujifunza na kuelimisha! !!! Matumizi ya taarifa za zamani kwa manufaa ya sasa!!!!
Maovu hayafukiwi ila huwekwa bayana na ndio task yangu hapa sasa hili ni wewe kukubali ulichanganya maana au kuondoa maneno yako ya mwanzo ili historia ikae sawa!!!!!

Aibu ndio syllabus iliyorukwa kwenye somo la kuweka kumbukumbu sawa!!!!!!!!

Kweli first meetings zinaweza kuwa kero!!!!!!!!
 
Yaani tahadhari wewe kama nani..?! embu jisome hapo juu vizuri..utajua kwa nini nakwambia una kaujuaji cha kijinga..
 
Unajua nakuona kama una inferiority complex flani hivi..kwa sababu mimi nlichoandika kwenye thread mwezi mmoja uliopita na nachocoment kwenye thread nyingine yenye maudhui tofauti..sioni haja ya ku make it big deal as if its end of the world mpaka kuwaita watu, huyu mtu anacoment huku sasa.. Kama msimamo wangu kule hukuupenda leave it...move on..mimi nlishakwisha sahau..nasonga mbele nimetoa mchango wangu, tumebishana msimamo wangu nimeuweka pale sijamlazimisha mtu afuate..just leave it na usonge mbele...hapa nimeweka tena msimamo wangu naona date ni mambo ya kawaida
na natural sio lazima ufundishwe au ucomplicate..what is big deal hapa...!!!? Wewe unakuja kuniquote mambo yaliyopita kama ni kuchallange.. Challange huo msimamo wangu kwenye uzi huu..sio kuita mamluki..na kuleta mambo yaliyopita(was it neccessary)..
 

Yeah you are absolutely correct, they are normal trends!!!!!!!!
Why did you personalize a normal forum trend!!!!!???????

Inferiority has multiple ways of manifeststions!!!!!!!

Bold; Challenge hukuiona au ulichagua cha kujibu..........nilikuuliza kawaida kwa mujibu wa nani!!!!!?????? Ulijibu hili??????Uliliacha na kuanza kujaza watu kuwa unafuatiliwa na hilo ndio limeleta haya!!!!!!!!

Kuhusu ku tag watu hilo liko nje ya uwezo wako kumuamulia mtu nani am tag na nani amuache achilia mbali nature ya topic na comment husika, kwa mfano hili ni mimi na wewe, hapa umeona tag!!!!???????

Nasema tena kweli first meeting yaweza kuwa kero!!!!!!!!!!
 
Utakuta anakuja na rafiki yake, mi nilishamtoa mmoja nishai nikamwambia rafiki yako amefuata nini hapa? Aliona aibu sana kwakweli mwisho wa siku yule rafiki ndio muongeaji kuliko mlengwa.
 

Bila shaka hao sio men ni boy unaokutana nao, inakuaje m/ume unakosa story hadi unaongea vitu km hivyo?
 
Get over it songa mbel..kama unaendeleza mipasho wanayofanyaga wakina mwajuma endeleza, mambo yamepita sion haja ya ushabiki na kuja kuharibu thread ya mtu..hiyo sio sawa, kama unaona hukuridhika na msimamo wangu ungetafuta ile thread ungeniita kule, uendelee lkn ulichofanya hapa ni kuexpose ujinga, ujuaji usiokuwa na maana..
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

hahahahahahahaaha!!! pole we.........
 
Anyway ngoja niwaachie, Ila naona kama unataka kumfanya aonekane kama kilaza mbele ya hao watu kitu ambacho sio ishu kabisa.! Ila jamaa sio kilaza kama unavyodhani
 
imenikuta juzi kati within this week. nimekutana na dem alinipigia kajifanya amekosea namba. akanielekeza location nikaenda. kumkuta kumbe ana watoto wanne. mbona nilizuga na fake call speed mia ishirini.
 
Anyway ngoja niwaachie, Ila naona kama unataka kumfanya aonekane kama kilaza mbele ya hao watu kitu ambacho sio ishu kabisa.! Ila jamaa sio kilaza kama unavyodhani

Ukilaza ni perception tu mkuu kama wewe lile umelipokea hivyo then wewe operationalize from that angle!!!!
 


Ha ha haaaaa ni kweli: First meeting yaweza kuwa kero...............!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…