Brownbeezy
Member
- Oct 11, 2014
- 18
- 2
Jamani mimi sio mkubwa sana kwa hiyo story so ya zamani ni kipindi niko darasa la saba,iko hivi.
Nakumbuka nilikuwa na marafiki kama wanne hivi ila mimi kiumbo ndo nilikuwa mrefu kidogo kulinganisha na wenzangu ambao niliwazidi kama mwaka mmoja hivi Sasa sijui ilikuaje hadi nikamtuma rafiki yangu mmoja kati ya wale akanipigie saundi demu ambae alikua jirani take na walikua marafiki.
Demu akakubalii hata nilikua sinaga story za kupiga nae.Nimekumbuka nikacheka nilipo fikiria jinsi nilivyokuwa naangua maembe,naweka kwenye friji likipoa na mpelekea mimi life linaenda na ubuyu aisee nimekumbuka alikula mwingi.
Sikuwai hata kumshika make sijui nilikuwa naogopa.
How was your first relationship.