First love

First love

Mhh ssi wengne nahis tumeanza kitambo sana michezo mibaya hata kuhadithia ni aibu,mi nakumbuka dem wangu wa kwanza nilikua nursery,af siku niliyomfanya mchezo mbaya akaenda kwao kuhadithia,bas nilitembezwa mtaa mzima na bakora juu ,daah alikua anaitwa Aisha.hahahahah,noma sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tukumbushane Mpenzi na mapenzi ya mwanzo.
Mimi nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naogopa hata mtu akinisogelea .
Unakuta naaga naenda kwetu .
Ukiniambia i love you naona nimeambiwa labda nimeshinda labda milioni kumi nakuendelea.
Kipindi hicho aliyekuwa mpenzi wangu anakuja na kadi na chocolate kadi hiyo imepuliziwa harufu nzuri.
Halafu siku zingine anakutoa out mtu ukale raha ila akikusogelea tu unaaga.
Aibu atataka mengine hapo hujui hata condom inavaliwaje au ikoje kwandani yaani.
Mara analeta ua jekundu au pink siku zingine anakuja kwenu mnaspend tu kukimbizana hadi mtu anaona kapata kweli.
Udogo raha mtu unaliwa halafu huna chakuwaza eti wewe utapata chakula wapi .
Msosi upo tu halafu kesho unaenda tena kulambwa mara uanze kiburi umejua mema na mabaya yaani.
Acha tu first love wangu sijui hata yuko wapi.
je nyie mnakumbuka nini?
Kwenye mwanzo wa safari yenu ya mapenzi?
Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom