Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,330
- 93,988
Mambo yangu yako poa tu katoto kazuri its been longtime out of my sight !!.Nope mamboo
Vipi we kwako
Mambo yangu yako poa tu katoto kazuri its been longtime out of my sight !!.Nope mamboo
Nope, namaanisha shule za kata zilianza miaka ya 2005 kama sikosei sasa kama amesoma huko bila shaka atakuwa dogo janjaHahahahah hilo tusi sasa sababu we ulisoma Shule moja wilaya moja ?.
Oohhh hapo nmekuelewa Mama !!. Sijapenda ulivyoniblock !![emoji35] nakumis ujueNope, namaanisha shule za kata zilianza miaka ya 2005 kama sikosei sasa kama amesoma huko bila shaka atakuwa dogo janja
Turudi kwetu urusi huko kwenye mapenzi yetu ambapo yalianzia
Kwa kweli ,na niseme I will never let it go!!.Turudi kwetu urusi huko kwenye mapenzi yetu ambapo yalianzia
Nimesema nini?So ni kweli unayoyasema lakin?
Utaingia na staili gani nikukubalie ?Kwa kweli ,na niseme I will never let it go!!.
Zaman ule ulikua utoto.
Kwa hiyo hukubaligi wew kwa sasa baada ya first love au![emoji13][emoji13]Nimesema nini?
Utaingia na staili gani nikukubalie ?
Mimi nakuja ,nasimama mbele ya mlango wa moyo wako , nabisha hodi kwa sauti ilojaa mapenzi na furaha ,, nakuita jina unfungulie mlango !!Nimesema nini?
Utaingia na staili gani nikukubalie ?
Piga magoti naunipe pete mileleMimi nakuja ,nasimama mbele ya mlango wa moyo wako , nabisha hodi kwa sauti ilojaa mapenzi na furaha ,, nakuita jina unfungulie mlango !!
Siku utakayofungua nitaingia ,, usipofungua nitarudi nikanywe maji nijipange tena.
Piga magoti naunipe pete ya milele
Mmhhhh mie napenda siku nitakayompigia magoti mwanamke iwe nisiku nitakayompigia magoti binti ang nikimfunga kamba za viatu awahi Shule.Piga magoti naunipe pete milele
Umeanza eh!Mmhhhh mie napenda siku nitakayompigia magoti mwanamke iwe nisiku nitakayompigia magoti binti ang nikimfunga kamba za viatu awahi Shule.
Nmeanza nn jaman? Hupendi binti yetu niwe namfunga viatu?.Umeanza eh!
Nipigie magoti eti au nisikupe mutaNmeanza nn jaman? Hupendi binti yetu niwe namfunga viatu?.
Haaaa ukininyima muta utakua umeamua tu !!. Sawa tu sabab mpin umeshika we.Nipigie magoti eti au nisikupe muta
Hapana kufanya ivo kama njia ya kuomba msamaha wa kosa nisilolijua nikujikosea kabisa !!.Fanya basi hivyo ndio nitakusamehe