First Lady wa Cameroon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First Lady wa Cameroon

Discussion in 'Jamii Photos' started by Leornado, Feb 24, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  Raisi Biya wa Cameroon akiwa na Mkewe Chantal. First lady mrembo sana na kawasaidia wananchi wa Cameroon hasa wanawake na watoto na HIV+ people.

  Thanx Marios.
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,981
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huyu kakaa mdarakani muda gani..?Amezidi 15yrs...???Tuanzishe revolution..africa mpaka iwe na raisi wenye chini ya miaka 50 kama 30hivi ndio itaendelea.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,530
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Mbona kama artificial fulani?
   
 4. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,005
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Genekai nakubaliana na wewe. Huo mzigo wa nywele siyo wa kawaida na kwa maoni yangu outdated style.

  Na hicho kiatu cha light green urefu wake (heels) haukukaa ki first lady ukizingatia na umri umekwenda kidogo
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Umeona eeh! full mkorogo.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,530
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Yeah mkuu hata sijui kwanini baadhi ya mama zetu wanapenda sana kuwa tofauti na uhalisia wao kimuonekano!
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Maelezo yanasema baba yake ni mzungu mfaransa na mama mkameruni. Kuvaa hivyo ni hulka yake ili kila anapokuwa awe spotted. Huo mzigo wa nyele ni identification ya 1st Lady huyo. She is only 40 years.
  [​IMG]

  Hii haijatulia, ist lady akiwa na Porno star Parisi Hilton???? why?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  kha....muonekano wake unapiga kelele sana.....
  ka da Kiboga
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anapenda urembo uzeeeeni
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  hivi uzee unaanzia miaka mingapi.....?
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,968
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Uzee mwisho wake ni Chalinze mjini hakuna uzee. Miaka yake ni 90 na ushee kama ya Mugabe
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  ha ha ha! da kiboga huyu huyu?
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Kweli mkuu huyu artificial, kila kitu mpaka nywele:A S 13:!!!!
   
 14. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu umeanzia wapi ku-count hadi ukaishia kwenye nywele? Haahahahaaaaa, ila ni kweli imeboa.
   
 15. c

  chetuntu R I P

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Full mkorogo hata kama 0.5 jaman, wanawake wa West ukiwakuta wapenda mkorogo ni hatari. Na hizo nywele hapana kwa 1st lady.
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Mm!
   
 17. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  naogopa nywele zake za ndani zikiwa hivi huyu bibi!
   
 18. M

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana sio Mkorogo , huyo mama ni Bi-racial, baba yake ni mzungu wa France na dhani, ni mke wapili wa huyo raisi, baada ya kwanza kufa, ni alikua kicheche kabla ya kua firdt lady.
   
 19. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,002
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  dah wakubwa mnafaidi?
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,395
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Duh!Shigongo ataacha athari kubwa sana kwa watanzania
   
Loading...