First Lady wa Cameroon

Pengine mawazo yangu mgando, lakini sioni kama umri mkubwa ni sababu ya kutojitunza. Mama full-mkorogo, inawezekana, nywele wigi, sina wasiwasi, viatu mchuchumio, haitaki ubishi, anapenda ujana, anajishaua, kakutana na Paris Hilton, kosa liko wapi? Jamani, tunachaguliana hata marafiki na nani wa kukutana nao?
 
Mammamia yaani ukikubali kuwa first lady ni lazima uwache kufanya baadhi ya vitu ambavyo vitakufanya uonekane kama kituko fulani hivi.

Hata huko Marekani unakumbuka Michelle obama alipovaa shorts ambayo ni fupi kweli kweli chini ya ******. Juu ya ustahmilivu wao lakini walipiga kelele na kusema first lady amezidi tena kuvaa shorts 'fupi' vile.

Sasa huyu mama na mivao na mawigi yake ambayo ni very shouting laiti angekuwa ni mama wa kawaida wala hakuna mtu angenotice kitu. Lakini being the first lady hakupaswa avae kiaina ile.
 
Wooote humu mnajadili muonekano wake wa nje mbona hamuongelei jitihada zake za kusaidia waathirika wa ukimwi?
 
Hawa maRais wazee kwa kupenda vicheche ndio maana vijana wanawasaidia ; wamuuulize mzee Mugabe mambo yaliyomkuta na Grace wake!! Sina shaka na huyu Biya anaibiwa kwa kwenda mbele!
 
Huyu kakaa mdarakani muda gani..?Amezidi 15yrs...???Tuanzishe revolution..africa mpaka iwe na raisi wenye chini ya miaka 50 kama 30hivi ndio itaendelea.
paul biya anatawala zaidi ya miaka 25 ktk cameroun,natayari tokea juzi jumatano maandamano ya kwanza ya waafrika weusi yameanza huko cameroun kumtaka aachie madaraka,nguvu yauma inapata kasi kama ya umeme sasa,mpk madikteta wote wafyekwe.
 
Pengine mawazo yangu mgando, lakini sioni kama umri mkubwa ni sababu ya kutojitunza. Mama full-mkorogo, inawezekana, nywele wigi, sina wasiwasi, viatu mchuchumio, haitaki ubishi, anapenda ujana, anajishaua, kakutana na Paris Hilton, kosa liko wapi? Jamani, tunachaguliana hata marafiki na nani wa kukutana nao?
La hasha mawazo yako sio mgando, kukutana na Paris Hilton wala sio shida kwa tunaomjua ni kuwa Paris Hilton babu yake ndio mwanzilishi wa Hilton Hotels kwa hiyo kakulia katika utajiri na kuhusu hayo mengine ya Night in Paris ilivuja hiyo video na BF wake.

Wakubwa kama hao ni michongo ya biashara tu naona hapo
 
The issue is not on his uzuri,the important thing is how she use her position as a first lady kutatua matatizo ya wanainchi wake?
 
Wabongo bhana.....
Yupo bombaaaaa
Kwani kila mweupe ni Ray ?

Acheni hizo bwana
 
Back
Top Bottom