First lady Regina ndani ya Arusha Mjini

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Wamama na wasichana wote wanaojielewa watakaohudhuria wamshauri Regina Lowasa kuwa amshauri mumewe Lowasa aache siasa aende hospitali kutibiwa badala ya kwenda ya kwenda kwenye majukwaa ya siasa kwa hali ile aliyonayo.

Wakimshauri hilo watakuwa wametenda haki kama wamama na wasichana wanaojielewa.Vinginevyo wasipofanya hivyo nao nitawaona vichwa vyao vimejaa maji na mbege tu.
 
Mgonjwa ni wewe usie kua naadabu mpumbavu wewe wee unaweza ukawa na ukimwi tena jichunguze kwanza au tia kidole maeneo alafu nusa ndo hutajua binadamu hajakamilika bora yako wewe unae jua ungonjwa na uzima wa mtu ila hujui yako.
 
Regina Lowasa mwongo mkubwa.Mtu mzima anaonekana hata kwa Macho.Mumewe mgonjwa majukwaa anakopanda kuhutubia ni ushahidi tosha asilete uongo.Hana huruma na mumewe anautaka tu u-first lady bila kujali kama mumewe atafia majukwaani au la.Huyu mama Regina naye ni mroho wa madaraka.Anataka u-first lady bila kujali gharama ya afya ya mumewe kuwa akiwa majukwaani mumewe anaumia au la.

Lowasa anatakiwa kuwa hospitalini sio majukwaa ya siasa sio siri.

Wenda wewe ni mtoto wa kambo wa lowassa.muhulize mama yako vizuri.

swissme
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

wagonjwa wapo muhimbili wamelezwa tulia gamba wew
 
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Labda first Lady wa Kanda ya Kaskazini.
 
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Yaani akina manka toka machame watafurika hapo hadi basi.Mkutano huo asilimia kubwa watakuwa akina mama na akina dada toka machame kwa Mbowe.
 
wagonjwa wapo muhimbili wamelezwa tulia gamba wew

Lowasa NAHISI atakuwa alitoroka WODINI muhimbili.Kama Mnabisha jaribuni kumpeleka muhimbili hata kama kwa medical check up kama hajatiwa pingu na kulazwa ICU chini ya ulinzi mkali ili asitoroke tena matibabu kwenda kuhutubia mikutano ya UKAWA .
 
kuna watu wametolewa rungwe mbeya wamepelekwa mafinga kujaza uwanja anapopita magufuli....imagine rungwe had mafinga...hawa jamaa nineamin walishafeli.....komaaeni ukawa nchi yenu....walioletwa wenyewe ni rafiki zangu wanadai wao ni ukawa ndo naaamin hawa jamaa kwaheri
 
Si kila mgonjwa lazima Mungu ndiye anajua kuwa yule mgonjwa.Kuna wagonjwa wengine hata binadamu twaweza jua yule mgonjwa kwa kumwangalia tu kwa macho.Wanasema mwenye macho haambiwi tazama.Mtu anashindwa kupanda jukwaani,anashindwa kuongea kwa kwa muda mrefu.

Hivi Lowasa aweza panda hata lile jukwaa la uwanja wa taifa wanakokaa waheshimiwa bila kusaidiwa?
Anaweza kaa juani kupokea heshima ya gwaride la kijeshi linalochukua masaa akiwa juani? Anaweza kwa hali aliyonayo akatembea juani uwanja wa taifa kukagua gwaridde?

Anaweza kushiriki midahalo ya maraisi kule Davos inayochukua muda mrefu akaweza?

Tusimpe kazi Mwamunyange ya kubeba mtu begani akishuka kwenye gari ili ampandishe kumkalisha jukwaa kubwa pale uwanja wa taifa.Mtu Kama Lowasa akiwa na afya mgogoro ajipime na achukue hatua kama alivyochukua hatua kashfa ya Richmond.

Napendekeza Lowasa aende hospitali na sio IKulu

inaonekana hamjajifunza kutoka kwa kombani.katangulia kamuacha Lowasa akimwaga sera kwenye majukwaa
 
Lowasa NAHISI atakuwa alitoroka WODINI muhimbili.Kama Mnabisha jaribuni kumpeleka muhimbili hata kama kwa medical check up kama hajatiwa pingu na kulazwa ICU chini ya ulinzi mkali ili asitoroke tena matibabu kwenda kuhutubia mikutano ya UKAWA .

sawa usahili wako umeisha tumegundua licha ya kutokua na kipaji cha kuchekesha lakini pia kipaji cha kuongea ueleweke huna, unatujazia tu nzi hapa
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Unajifurahisha kwa ujinga wako.
 
Wamama toka terrati ndio wanaimba.
network inasumbua picha haziendi nitawatumia baadae
 
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Hongereni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom