YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.
Wamama na wasichana wote wanaojielewa watakaohudhuria wamshauri Regina Lowasa kuwa amshauri mumewe Lowasa aache siasa aende hospitali kutibiwa badala ya kwenda ya kwenda kwenye majukwaa ya siasa kwa hali ile aliyonayo.
Wakimshauri hilo watakuwa wametenda haki kama wamama na wasichana wanaojielewa.Vinginevyo wasipofanya hivyo nao nitawaona vichwa vyao vimejaa maji na mbege tu.