karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.
Regina Lowasa mwongo mkubwa.Mtu mzima anaonekana hata kwa Macho.Mumewe mgonjwa majukwaa anakopanda kuhutubia ni ushahidi tosha asilete uongo.Hana huruma na mumewe anautaka tu u-first lady bila kujali kama mumewe atafia majukwaani au la.Huyu mama Regina naye ni mroho wa madaraka.Anataka u-first lady bila kujali gharama ya afya ya mumewe kuwa akiwa majukwaani mumewe anaumia au la.
Lowasa anatakiwa kuwa hospitalini sio majukwaa ya siasa sio siri.
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.
karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.
karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.
Labda first Lady wa Kanda ya Kaskazini.
wagonjwa wapo muhimbili wamelezwa tulia gamba wew
Sio first lady wa kanda ya kaskazini labda first lady wa Machame kwa Mbowe!
Yaani akina manka toka machame watafurika hapo hadi basi.Mkutano huo asilimia kubwa watakuwa akina mama na akina dada toka machame kwa Mbowe.
Si kila mgonjwa lazima Mungu ndiye anajua kuwa yule mgonjwa.Kuna wagonjwa wengine hata binadamu twaweza jua yule mgonjwa kwa kumwangalia tu kwa macho.Wanasema mwenye macho haambiwi tazama.Mtu anashindwa kupanda jukwaani,anashindwa kuongea kwa kwa muda mrefu.
Hivi Lowasa aweza panda hata lile jukwaa la uwanja wa taifa wanakokaa waheshimiwa bila kusaidiwa?
Anaweza kaa juani kupokea heshima ya gwaride la kijeshi linalochukua masaa akiwa juani? Anaweza kwa hali aliyonayo akatembea juani uwanja wa taifa kukagua gwaridde?
Anaweza kushiriki midahalo ya maraisi kule Davos inayochukua muda mrefu akaweza?
Tusimpe kazi Mwamunyange ya kubeba mtu begani akishuka kwenye gari ili ampandishe kumkalisha jukwaa kubwa pale uwanja wa taifa.Mtu Kama Lowasa akiwa na afya mgogoro ajipime na achukue hatua kama alivyochukua hatua kashfa ya Richmond.
Napendekeza Lowasa aende hospitali na sio IKulu
Lowasa NAHISI atakuwa alitoroka WODINI muhimbili.Kama Mnabisha jaribuni kumpeleka muhimbili hata kama kwa medical check up kama hajatiwa pingu na kulazwa ICU chini ya ulinzi mkali ili asitoroke tena matibabu kwenda kuhutubia mikutano ya UKAWA .
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Yeye alishasema mme wake mzima,Lakini kama wewe ni mke wake wa pili sawa tukusikilize.