Huyo ndiyo Fist Lady wa mfano kwani anaelewa vema nafasi yake kwa Taifa
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.
karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
haha we boya kweli hivi lowasa na magufuli nani mgonjwa..
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Unaakili za funza.lowasa

Jiepushe sana na mambo usiyoyajua kwani uzima na ugonjwa wa mtu ni Mungu pekeyake anayouhakika ndiyo mjuzi..
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Nenda kashike nafasi yake, maana yaonekana unawashwa!Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..
Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
Yeye alishasema mme wake mzima,Lakini kama wewe ni mke wake wa pili sawa tukusikilize.
Nenda kashike nafasi yake, maana yaonekana unawashwa!