First Lady akiwa kazini

Kuna li rais fulani hivi lina kidevu chenye ncha kali (rais wa kutu ya korosho) lina roho mbaya sijapata kuona.Wananchi hata tukijamba tu utamsikia polisi zuieni wasijambe walizoea ushuzi wa bure wa awamu ya 4
 
Jamaa msela sana huyo, safi sana
Huyu je?
31265604_844564072415599_8991707458028175360_n.jpg
 
Sijui kwa upande wako, lakini ukweli simuoni Ruto kama anaweza kuwa Rais mzuri, anaonekana anaweza kuwa kama Moi...
Huyo jamaa ni mchapakazi kupindukia. Ila huwa hana uvumilivu hata kidogo. Kawaida ya huyo makamu wa rais huwa ana visasi vya kisiasa. Ukimpita wrong hajui kukausha kama rais Uhuru. Yeye lazima atakunyoosha tu. :D Mambo yatakuja badilika jombaa.
 
Back
Top Bottom