Watu mnapenda kuota mchana kweupe....
Hatuwezi kuongozwa na chama kinachofuata matakwa ya baba mkwe na mkwe wake.
Hao watabaki kuwa wapinzan milele.
El hawezi kuja kuongoza nchi yoyote hapa dunian labda atakuja kuongoza huko kuzim
Sijui kwanini mnajisahaulisha habari ya goli la mkono
Goli la mkono la nini! Mpaka sasa mbowe kesha funga 2 own goals, mwisho wa game sijui itakuwa jumla dazeni ngapi.Sijui kwanini mnajisahaulisha habari ya goli la mkono
Namkumbuka siku alipomwaga chozi bungeni baada ya fisadi lake kusulubiwa na Dr Mwakyembe.
Chuki binafsi hizo!!! Utaumia sana!!!Watu mnapenda kuota mchana kweupe....
Hatuwezi kuongozwa na chama kinachofuata matakwa ya baba mkwe na mkwe wake.
Hao watabaki kuwa wapinzan milele.
El hawezi kuja kuongoza nchi yoyote hapa dunian labda atakuja kuongoza huko kuzim
Safari hii sio rahisi...
Mmmmhhh...let's wait and seeGoli la mkono la nini! Mpaka sasa mbowe kesha funga 2 own goals, mwisho wa game sijui itakuwa jumla dazeni ngapi.
mnajivunia goli la mkono hamna lolote.....mxiiiuuuuuu
Chuki binafsi hizo!!! Utaumia sana!!!
goli la mkono wapi? Ukweli ni kwamba mnaonesha ushindan kwenye mitandao lakn mmesahau kuwa kuna mitaani, vijijini n.k.
Mbaya zaidi mmejiharibia yule mliyekuwa mnawita mwizi,jambaz na watz wakawaamin kwa kuanika uovu wake leo hii ndiyo Mungu mtu wenu ambaye mnamtegemea kuwaletea ushindi.
Hapo ndo mmejiharibia kabisa.
Tuonane oct
Ni Novemba mkuu.goli la mkono wapi? Ukweli ni kwamba mnaonesha ushindan kwenye mitandao lakn mmesahau kuwa kuna mitaani, vijijini n.k.