First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

Simba inatakiwa iwe na mtu mithili kama Marehemu Mzee mapama (Hans Pope) nje ya hapo Simba bado itatetereka sana,kidogo ambae namuona anaiyeweza kumfikia ni Kaburu nyange ama kidogo Magori,hawa nahisi wakiwepo pale simba itarudi kwenye ubora wake,Injiania Hersi iki anachokifanya ndicho alichokuwa anakifanya Marehemu Mzee mapama
Mkuu Magori yupo ndani ya Simba yeye na Kaduguda lakini ni kama vile wametengwa. Simba inapata shida sasa hivi kwa sababu viongozi waliopo hawaujui mpira na fitina zake halafu wameamua kuwatumia machawa wawasaidie badala ya kuwatumia watu wanaojua mpira na fitina za mpira wawasaidie. Mzee dalali pamoja na elimu yake tu ya kawaida aliweza kuiendesha Simba kwa ufanisi mkubwa sana kwa sababu aliondoa makundi yote akaiunganisha Simba ikawa moja. Leo hii viongozi waliopo wanavuna matunda ya utengano.
 
Mawazo mazuri lakini sasa subiri Mangungo wa Msovero na Jaribu Tena wapewe pesa na Mo. Hao wawili wanajifungia ndani na maajenti feki wanaangalia "youtube" za wachezaji mbalimbali wakimaliza wanachagua wanaowataka hata bila kuwaona "live" wakicheza wanalipa pesa kidogo chenji wanagawana mnaletewa wakina Sawadogo, Fred, Jobe na wengine dizaini hiyo. Wakina Magori, Kaduguda na wajumbe wengine wanaojua mpira wakikaa kwenye mkutano wanasubiri wajadili usajili wanashangaa wachezaji wameshasajiliwa na tayari wanaanza kushuka uwanja wa ndege. Kwa namna hii kwanini injinia Hersi jeshi la mtu mmoja na msaidizi mmoja tu Arafat asiwatese bodi nzima ya Simba yenye wajumbe zaidi ya kumi.
Dalili ni mbaya kama wanahangaika kuwasajili kina Kibabage, Mwamnyeto na Dube

First Eleven yako nzuri ila Kibu anaenda Yanga ambayo msimu ujao pia itaifunga tena Simba nje ndani na itakuwa tena bingwa NBC premier league. Lazima rekodi ya mbumbumbu FC ivunjwe makombe misimu minne Yanga then tunaweza kuongea!!
Naheshimu juhudi zake uwanjani ila pengo la Kibu linazibika vizuri tu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom