First and true love never die...! hii ni kweli?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First and true love never die...! hii ni kweli??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Oct 19, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  JF habari,
  Kichwa cha habari kinahusika. jamani mimi sikua naamini hili, mtu wa kwanza kumpenda, na ukipenda kwa dhati,
  upendo hua hauishi hata ukija kupata mwingine.
  Nimefikia kuandika ili kupata maoni na uzoef wenu pia manake nimefika wakti sasa nashindwa kuamini
  kama saikolojia yangu na moyo wangu vipo sawa.
  Nilishapenda mara 1 tu kwa dhati. hii ilikua mwaka 2007, hata hivyo sikufanikiwa kua na huyo nilie angukia kwake
  manake alikua na mtu tyari. (kaolewa mwezi wa nane mwaka huu).
  Lakini pamoja na kurealize na kukubali katika akili na moyo wangu kua nilimpenda ila imeshindikana kua
  nae, bado hadi leo me nampenda(kwa sasa ni mke halali wa mtu, kiimani, sheria, na tamaduni)
  na ni kama nieshindwa kabisa kupenda tena ingawa natamani sana nipende.
  Kiukweli sio kua naumia, ila najiuliza hali kama hii iataendelea hadi lini, na ni ukweli kua sometimes mtu unatamani kua
  na mapenzi ya dhati na rasmi.

  Hivi jamani hii ndo kusema first true love never die??
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Acha kujiendekeza
   
 3. ram

  ram JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Binafsi naamini hivyo kwa 100%
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ya kweli yalishaisha zamani sana!
   
 5. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Jipe muda, mwezi wa nane juzi tu, ukipata mwingine utamsahau tu.....
   
 6. C

  CYPRIAN MKALI Senior Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sisi kwetu tuna msemo ya kuwa kama, 'kama hujatembea unaweza dhani mama yako ndo anajua pika kuliko wote".
  Ukweli ni kwamba kama ulimpenda kwa sababu ya ukarimu basi hujapata bahati ya kukutana na mkarimu zaidi yake, kama ni uzuri vivyo hivyo. Amini unaweza msahau within a week, hapo ni kumuomba Mungu aupe zaidi yake vinginevyo itakuwa ngumu kumsahau.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni wewe tu na mawazo yako ukiamua pata mwingine na mkapendana iiizuri unaweza.
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni mawazo mgando tu,na iman za mapokeo ukipata wa ubavu wako,wala hutakumbuka km ulishawahi kupenda kabla yake!
   
 9. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hamna kupendana sikuhizi,tunahifadhiana na kusaidiana huduma za kimwili tu nani amewaloga nyie kuna mapenzi now days ni kuviziana tu kwenye mioyo.
   
 10. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mh... Nafikiri inategemea mliachana vp mi kidume changu ckikumbuki hata robo japo kuwa nilikuwa nampenda sana
   
 11. A

  Ashangedere Senior Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana kabisa, hicho kitu kinanisumbua pia, tulipotezana, tumeonana wote tuko married na tunashindwa jizuia, lakini tunajitahidi kukaa mbali
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Roho iloumbwa na mwenyezi Mungu kupenda.... Huweza vunjwa na kusahau lile penzi... Na kujaliwa kupenda tena na Akavunjwa na akapenda tena... Depending on one's stance... Mapenzi hufa... Mapenzi ya kwanza yana bittersweet memories for the simple reason kwamba ndo ulikaribishwa katika ulimwengu wa kupenda....
   
 13. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hatukuachana kwasababu hatukuwahi kuwa wapenzi.
   
 14. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunamakala moja ntajitahid kuianda nilisoma mahali nikaipenda sana bila shaka itakuwa msaada kwako, nikimalza kuandaa ntakupm
   
 15. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  asante mkuu.
  nasubiri.
   
 16. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo wengi mnachanganya first love na first time u had sex.si lazima mtu wako wa kwanza ndie your first love.Wengi tumefanya mapenzi kabla ya kukutana na our first true love.One's first true love always has a special place no matter what happens.
   
 17. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole kama haupendwi au haupendeki.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Niliyempenda wa kwanza mpaka leo nampenda. Na akirudi na kuniambia ananipenda, ndoa yangu na mama matesha itakuwa hatarini.
   
 19. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo ilikuwa ni crush tu!
   
 20. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Badilisha tabia na mtazamo tu utagundua ukweli kuwa mapenzi ya dhati kama ilivyo wema hayataisha kamwe.
   
Loading...