First African (Half TZ) Playboy Playmate of the Year

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Ok Gentlemen, Forget Manji, Rostam, Jeetu and the rest of those crooks for a second and pay attention.

ida-ljungqvist-playboy-playmate-of-the-year-photos-2.jpg

Ida Ljungqvist is the 50th woman and first African to win the Playboy Playmate of the Year award. Ida received the prestigious award from Hugh Hefner’s hands in a ceremony held at The Palms Hotel Casino in Las Vegas Saturday (May 2). Ljungqvist was born in Tanzania to a Swedish father and a Tanzanian mother. She was discovered by 2007 Playmate of the Year Sara Jean Underwood at a Bebe clothing boutique on Rodeo Drive.
 
didnt knw we are good in PORN???

Acha ushamba wako hapa. Kama hujui si heri kwanza uulize kuliko kujiweka ki-frontfront? Playboy na Porn wapi na wapi?

Humo wamewekwa wanawake wengi sana ambao hawana uhusiano wowote na Porn. Mwana dada wa kwanza kuwa kwenye gazeti alikuwa Marilyn Monroe Dec. 1953. Ukitaka kujua zaidi juu ya PLAYBOY basi gongli hapa chini:

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Playboy"]Playboy - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
Acha ushamba wako hapa. Kama hujui si heri kwanza uulize kuliko kujiweka ki-frontfront? Playboy na Porn wapi na wapi?

Humo wamewekwa wanawake wengi sana ambao hawana uhusiano wowote na Porn. Mwana dada wa kwanza kuwa kwenye gazeti alikuwa Marilyn Monroe Dec. 1953. Ukitaka kujua zaidi juu ya PLAYBOY basi gongli hapa chini:

Playboy - Wikipedia, the free encyclopedia

usijifanye unaijua PLAYBOY!!! naijua playboy( tvshow- girlz in the playboy mansion)....

baba usiniite msshamba!!! playboy involves kitu kinaitwa NUDITY!!!.... nenda website yao uone... au agiza magazine yaao uangalie na familia yako!
 
Sikonge ndugu yangu naomba back off kutetea haya ma-playboy, ni upuuzi mtupu na kwa standard za kitanzania ni porn wala hatu hitaji ku google ilikujua hili. Nakuheshimu mkuu na nisingependa mtabora mwingine auvagae mkenge ya jana yanatosha for now.
 
kaka tafadhari usiniabishe wa TBR mwenzio jana tumepata aibu kubwa tu, haya playboy kwa standard za bongo ni PORN kabisa hauhitaji ku google hata hili mzee. I
 
usijifanye unaijua PLAYBOY!!! naijua playboy( tvshow- girlz in the playboy mansion)....

baba usiniite msshamba!!! playboy involves kitu kinaitwa NUDITY!!!.... nenda website yao uone... au agiza magazine yaao uangalie na familia yako!

Why nchi nyingine zime ban hili gazeti kama kweli sio lichafu chek

In many parts of Asia including India China, Mynamar,Malaysia Thailand,Singapore, and Brunei sale and distribution of Playboy is banned. In addition, sale and distribution is banned in almost all Muslim countries in Asia and Africa, such as Iran,Saudia Arabia and Pakistan. However, it is sold in Hong kong. In Japan, where genital model shown in a separate edition is published under license by Sheushia
 
usijifanye unaijua PLAYBOY!!! naijua playboy( tvshow- girlz in the playboy mansion)....

baba usiniite msshamba!!! playboy involves kitu kinaitwa NUDITY!!!.... nenda website yao uone... au agiza magazine yaao uangalie na familia yako!

Napster,

Nashukuru kuwa UMEJIJIBU mwenyewe. Ungeliandika kuwa ni NUDITY au EROTIC wala nisingesema. Ila kuita PORN, si kweli.

Juu ya haya magazeti umejuaje huwa siagizi? Hata juzi nimevuta lile faili aliweka INVISIBLE. Pia hata MAXIMA. Pia wale watoto watatu wa Mzee huwa nawaangalia sana kwenye kipindi cha MTV maana jamaa yangu hunirekodia na kuniwekea video zake.

Kusema niangalie na familia yangu pia hufanya hivyo kasoro tu watoto hatuonyeshi maana hayo ni magazeti ya wakubwa. Usijifanye Mlokole wewe huku usiku ukiingia unaanza (mhhh mhhhhh.......Dr. Remmy Ongala).
Kila mtu hayo mambo hufanya na haina maana unafanya mbele ya watoto. Au ulikuwa unamaana gani kusema niangalie na familia yangu?

Yule dada ni MSWIDI maana hata jina unaliona. Sasa kuwa na mama Mtanzania haina maana yeye ni Mtanzania. Kimila za Africa, mtoto ni wa baba. Hivyo binti ni Mswidi-full stop. Nani kasema sisi ni Wayahudi? Tungelikuwa Wayahidi kweli angelikuwa Mtanzania maana wao mtoto ni kwa mama. Ndiyo maana Harry Berry ni Myahudi kweli na Lenny Kravits na kuwa na jina la Kiyahudi ni Mjamaica kwa Izrael na Myahudi kwa Wajamaica.
 
Sikonge ndugu yangu naomba back off kutetea haya ma-playboy, ni upuuzi mtupu na kwa standard za kitanzania ni porn wala hatu hitaji ku google ilikujua hili. Nakuheshimu mkuu na nisingependa mtabora mwingine auvagae mkenge ya jana yanatosha for now.

Burn,

Kama kweli wee wa Tabora hebu kwanza badili hiyo Picha yako. Unasema mie nakutia aibu wakati wee mhhh. Au ndiyo mambo ya nyani haoni.........
Mbona Erick Ngosha anawawekea magazeti haya kila siku Tanzania. Wengi hapa kabla hawajaja hapa wanaenda KUHIJI Zeutamu?

Ningeliweza basi ningelikuwa Mtanzania na Mnyamwezi wa Kwanza kufungua SEX-SHOP Sikonge. Ningeliomba kibali cha kufungua dangulo la wanawake, mashoga na Wanaume poa. Kila mwenye kiu yake hapo angelituliza ila kwa masharti kuwa lazima uvae mipira na wafanyakazi wangelikuwa wanapimwa kila mara.

Ningelianza na kushoot VIDEO za PORN ili mjue tofauti ya PLAYBOY na PORN. Na la mwisho ni kufungua CAFE kama za Uholanzi za watu kuja kuvuta NZYEMU aka Bangi aka Ma aka Marijuana aka Green etc,,,,,,,

Tabora huwezi kuaibika zaidi ya kuwa UNATOKA TABORA. Ule mkoa ni BONGE LA SOO. Yaani ni choo hasa. Wakati mwingine hadi siamini kama najiita Sikonge ila unajua tena mtu kwao..... Hivyo Tabora tu masikini wa mawazo, fikra na mali. Labda inabidi tutafute vitu vingine ambavyo vyaweza kutuletea sifa, iwe mbaya au nzuri.

Wahaya walifanikiwa. Wanapesa na aibu ziko kichogoni. Sasa hivi makabila mengine ndiyo wamechangamkia u-CD. Pesa ninazozipata basi ningelitumia kujisafisha. Wote mngeliniona saaafi. Mngelinikaribisha kila sikukuu na kunipa kiti cha mbele.

Burn, wale Vibwengo waliowekwa na RA pale UVCCM Tabora hatuwezi kuwaita ni Watabora. Sema ni wa ROSTAM AZIZ wa Igunga. Msalaba wao waubebe wenyewe. Siku kukitokea mabadiliko basi inabidi waitwe Sungusungu wawatengenezee ile RING ya FIMBO. Tena fimbo zitoke mti wa Mkwaju (msisi), watandikwe hadi walie MAYUUUUUU!!!!!!!!
 
...acheni upuuzi wenu wa maadili,mtoto mzuri sana huyo,Ngabu huyo mtoto siyo level yako wewe angalia tuu ukamalizie bafuni!
 
Sasa haya ni mafanikio jamani...
Kwa hiyo huyo binti anaweza akawa role model wa mtoto wako??????
 
Sasa haya ni mafanikio jamani...
Kwa hiyo huyo binti anaweza akawa role model wa mtoto wako??????

Prostitute or Protestant

An Irish daughter had not been home for over five years. Upon her return, her father cursed her. Where have ye been all this time? Why did ye not write to us at all? Why didn't ye call? Can ye not understand what ye put yer old mum thru? The girl, crying, replied, "Sniff... Dad... I became a prostitute." "Ye what!!? Get out, ye shameless harlot! Sinner! You're a disgrace!" "OK, Dad -- as ye wish. I just came back to give mum this luxurious fur coat, title deed to a 10 bedroom mansion plus a savings certificate for $5 million." "For me brother, this gold Rolex and for ye daddy, the brand new Mercedes convertible that's parked outside, a membership to the country club, an invitation for ye all to spend New Years Eve on board my new yacht in the Riviera, and a new..." "Now what was it ye said ye had become?" says dad. The girl, crying again, "A prostitute! "Oh! Ye scared me to death, girl! I thought ye said a Protestant.
 
...acheni upuuzi wenu wa maadili,mtoto mzuri sana huyo,Ngabu huyo mtoto siyo level yako wewe angalia tuu ukamalizie bafuni!

Hahahahahaaa...My swagga is on a zillion....yours is a zero...no brainer..she'll kick it wit a hero
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom