wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 869
Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.
Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.
Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.
Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.
Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.