First 11 ya Simba Fc Next season 2017/2018.

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
868
12b6d49ee4bfa8a137f4ebf0a35ae898.jpg

Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.

Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.

Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.

Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.

Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.
 
Na ndoo ya VPL muibebe sasa, sio mbwembwe zote hizo za usajili halafu mnaishia nafasi ya pili au ya 3
 
12b6d49ee4bfa8a137f4ebf0a35ae898.jpg

Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.

Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.

Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.

Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.

Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.
Mmechukua watu_kutu wote mmewarundika pamoja,mnachokitafuta mtakipata
 
12b6d49ee4bfa8a137f4ebf0a35ae898.jpg

Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.

Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.

Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.

Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.

Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.

Ni kweli kikosi kizuri, kinachotakiwa sasa kuchukua kombe na kufika mbali kimataifa. isije ikatokea kama ya msimu huu ulioisha unaongoza ligi kwa tofauti ya pointi takribani nane halafu .......,kuna haja ya wachezaji kujua wajibu wao na kwanini wako hapo Simba
 
Nyie si mnabeba kwa mbeleko ya Malinzi?
Toka 2010 mpaka 2017..Yanga kabeba ndoo mara tano..msimsingizie Malinzi jikazeni...Simba kwa nini mnaishi kwa matumaini kama mgonjwa wa ukimwi?Kila mwaka mnasajili kikosi kipya alafu mnategemea kupata ubingwa....
 
Ngoma hawezi kukaa bench. Kama hao wapo, Mkude/ Kotei na Haruna wanaanza kati au Ngoma na Haruna mbele, Boko bench..
12b6d49ee4bfa8a137f4ebf0a35ae898.jpg

Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.

Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.

Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.

Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.

Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.
 
12b6d49ee4bfa8a137f4ebf0a35ae898.jpg

Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali.

Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola.

Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua tishio kubwa kwenue michezo ya ligi kuu na shirikisho.

Sub ya simba itakua kinatoka kitu kinaingia kitu kuna: Agyei, Mohamed ibrahim,Banda,Kotei,Ngoma, Ndemla na Bokungu.

Sifa ya simba na heshima ya vilabu vya bongo naona inarudi mana mda mrefu tumekua washiriki.
Ngoma Hapana hawezi kucheza stylebya Simba
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom