Bro, samahani japo muuliza swali kaelewa ila mimi wa shule za asante Nkapa nimetoka bila vp unaweza kuweka kwa kiswahili ????
Leo Nimetumiwa ujumbe kwenye simu yangu Samsung GT-I9060 kwamba nifanye iyo Firmware update, nikadowload nika-install...ikafanya vitu vyake weee ikaji-reboot...afu ikaniambia "your device is successfully updated"..
SASA mi sijaona mabadiliko yoyote naona simu ipo vilevile tu kama zamani..SASA HAPA WATAALAMU NAOMBENI MNIAMBIE FAIDA NA HASARA ZA HIKI KITU NILICHOKIFANYA.
Mimi simu ni ya at&t unlocked ila hotspit haifanyi kazi. Fundi kashauri aweke firmware nyingine na hivyo kuondoa kabisa hayo makitu at&t na kuwa simu ya kawaida. Je ni weli,haina madhara?Firmware update haina maana ya kubadilisha muonekano wa kifaa chako..
kumbuka firmware ni program, kama zilivyo software nyingine na yenyewe inahitaji updation.
hizi updates sio lazima uzione kwa sababu ni functions kwa ajili ya kuboresha zile zilizokuwepo. kazi za kifaa chako ziko palepale ila zimeongezewa ubora.kumbuka ya kuwa kifaa chako kimekuwa programmed kuwasiliana na vifaa vingine na program zingine na hiz updates zinasaidia kutatua matatizo kama haya ya muingiliano ie; compatibility issues na kufix bugs.
izingatiwe kuwa hizi ni codes ie maelekezo ambayo inafaa yaangaliwe na kuzingatiwa kulingana na wakati na mabadiliko yoyote.
eli uone mabadiliko kwenye kifaa chako unahitaji kuupgrade au kubadili version ya firmware mfano kutoka jellybean to kitkat au kitkat to lollipop hii ni kwa case ya android.
hamna hasara za kuupdate software kwan update ipo maalum kwa kukifanya kifaa chako kitende yanayopaswa
Firmware is a software program or set of instructions programmed on a hardware device. It provides the necessary instructions for how the device communicates with the other computer hardware. But how can software be programmed onto hardware? Good question. Firmware is typically stored in the flash ROM of a hardware device.
While ROM is "read-only memory," flash ROM can be erased and rewritten because it is actually a type of flash memory.
Firmware can be thought of as "semi-permanent" since it remains the same unless it is updated by a firmware updater. You may need to update the firmware of certain devices, such as hard drives and video cards in order for them to work with a new operating system.
CD and DVDdrivemanufacturers often make firmware updates available that allow the drives to read faster media. Sometimes manufacturers release firmware updates that simply make their devices work more efficiently.
You can usually find firmware updates by going to the "Support" or "Downloads" area of a manufacturer's website. Keeping your firmware up-to-date is often not necessary, but it is still a good idea.Just make sure that once you start a firmware updater, you let the update finish, because most devices will not function if their firmware is not recognised
source: techterms.com/definition/firmware
moto nkali,
Bro, samahani japo muuliza swali kaelewa ila mimi wa shule za asante Nkapa nimetoka bila vp unaweza kuweka kwa kiswahili?
Firmware is a software program or set of instructions programmed on a hardware device. It provides the necessary instructions for how the device communicates with the other computer hardware. But how can software be programmed onto hardware? Good question. Firmware is typically stored in the flash ROM of a hardware device.
While ROM is "read-only memory," flash ROM can be erased and rewritten because it is actually a type of flash memory.
Firmware can be thought of as "semi-permanent" since it remains the same unless it is updated by a firmware updater. You may need to update the firmware of certain devices, such as hard drives and video cards in order for them to work with a new operating system.
CD and DVDdrivemanufacturers often make firmware updates available that allow the drives to read faster media. Sometimes manufacturers release firmware updates that simply make their devices work more efficiently.
You can usually find firmware updates by going to the "Support" or "Downloads" area of a manufacturer's website. Keeping your firmware up-to-date is often not necessary, but it is still a good idea.Just make sure that once you start a firmware updater, you let the update finish, because most devices will not function if their firmware is not recognised
source: techterms.com/definition/firmware
sio NKAPA ....MPAKA
NATURE yako inaonesha ni chabo...umeshindwa hata kusummirize