Fireboy DML (LTG album) Vs Burna Boy (Twice as Tall) ipi ni Bora?

Niliposikiliza VIBRATION NA ENERGY...!! Ndo nkanyoosha mikono Juuu... Fireboy ana balaa aiseee yani moto hasaa now Burna boy nae kawakaaa.

Nigeria kustay kwenye game na kuhit ni ishu sanaa yani Wameondoka kina Psquare mziki wao umezidi kuwa hot na nusuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Twice as tall nayo duuuh hapana aisee Nigeria ni Level nyingineee...
Hapa Bongo leo akidondoka Mond au Kiba sijui itakuwajeee...
Usihofu sholo mwamba yupo
 
Ila naomba uache kumfananisha Burna boy na Fireboy Mtoto wa Juzi Tafadhali.
 
Hivi ile ngoma na Sam Smith iko kwenye album ya Twice as Tall?Ila wasanii wa bongo wasijipe magharama ya video hata Lyrics video zinatosha au animation.
Hiyo haipo mkuu.
Kuhusu swala la lyric na animations wabongo Bado Sana .
Alafu hiyo ngoma African Giant kashiriskishwa Tuu
 
Niliposikiliza VIBRATION NA ENERGY...!! Ndo nkanyoosha mikono Juuu... Fireboy ana balaa aiseee yani moto hasaa now Burna boy nae kawakaaa.

Nigeria kustay kwenye game na kuhit ni ishu sanaa yani Wameondoka kina Psquare mziki wao umezidi kuwa hot na nusuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Twice as tall nayo duuuh hapana aisee Nigeria ni Level nyingineee...
Hapa Bongo leo akidondoka Mond au Kiba sijui itakuwajeee...
Wabongo wachawi wengi halafu wanachuki sana kazi kuchekeana usoni hawawapi nafasi upcoming wanajiona wao ndo wanatosha kuwepo.
 
Sasa burna boy wa mwaka gani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nkajua unasema nisimfananishe na davido au wizikid..
Burna ni was Tangu 2010... Fire boy wa Juzi tuu huwezi mshindanisha na Burna..
Twice as Tall imefikisha streams 7 mill ndani ya muda mchache Sana.

Hapa sijataka kuizungumzia African Giant ambayo kila ngoma NI 🔥....
 
Burna ni was Tangu 2010... Fire boy wa Juzi tuu huwezi mshindanisha na Burna..
Twice as Tall imefikisha streams 7 mill ndani ya muda mchache Sana.

Hapa sijataka kuizungumzia African Giant ambayo kila ngoma NI [emoji91]....
Fireball unadhani kaanza kuimba Jana na kutoa Album????[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kuhusu kuanza kuimba lini watu wanaimba toka 2000 huko hadi leo hakuna anaewajuaaa... Kina davido na Wizikid now ndo wapo Pick lakini mziki hawajaanza jana..
 
Tunarudi pale pale dogo NI was Juzi huyo 2018 ...kazaliwa 1996 Sasa NI was kumfananisha na Burna Boy?
Acha masikhara mkuu...
 
Kama ni wa juzi alafu yupo Motoo hivi bhasi ni Mkali kuliko Burna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 Kwa Burna atasubiri Sana mkuu.
Naona Nia yako NI kupoteza Muda mkuu ...Tuishie hapa...Maana najua unafahamu kuwa Burnaboy NI mkali kuliko Fireboy
 
Mimi nazungumzia walioanza mziki kipindi kimoja alianza rema na corny akaja fireboy na jealous ila umekosea kumuweka maryokun ni wa mda mrefu tena mkongwe hyu yupo na davido kitambo sana na hapo ulipomweka hakuna hata mmoja anayemfikia ana ngoma nyingi, terri huyu wa juzijuzi ni msanii wake wizkid , omah lah hyu ndo dogo kabisa kwenye game, joeboy ni mzuri anakuja vizuri nilishamuona kabisa alikujaga bongo.
Fact
 
Yani kwa upcoming Nigeria huyu dogo anahatari mwanzoni kura yang nlimpa rema ila badae nikaona huyu dogo anastahili kura yangu yeye kila ngoma hit kaka.
Ni hatari yaani rema anasubiri sana kwa Fireboy
 
Burna ni was Tangu 2010... Fire boy wa Juzi tuu huwezi mshindanisha na Burna..
Twice as Tall imefikisha streams 7 mill ndani ya muda mchache Sana.

Hapa sijataka kuizungumzia African Giant ambayo kila ngoma NI [emoji91]....
Unaweza taja ngoma ambayo inazifikia vibration, I feel, jealous, king, new York City girl, scatter, I need you
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa Burna atasubiri Sana mkuu.
Naona Nia yako NI kupoteza Muda mkuu ...Tuishie hapa...Maana najua unafahamu kuwa Burnaboy NI mkali kuliko Fireboy
Kw ukali gani, maana kuimba live tu fireboy ashikiki maybe una sababu zako but kwa mziki mzuri Nigeria wanaye Fireboy DML tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom