Fire works ni dhambi tena anasa

Fire works ni dhambi tena anasa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku ukiwaleteeni salamu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.
Nawapendeni sana wana JF hasa wale wanaonikera kwa misimamo yao iliyotofauti na wangu. Mtu kama Ritz, @w.s. Malecella, Nnauye Jr, Jey key na wengine wengi, nawatakieni heri na fanaka. Pia marafiki zangu wapendwa Zion Daughter, Boflo, @c6, watu8, @da mie, ndyoko, Mtambuzi, Mbuzi Mzee, cacico, KakaKiiza, MziziMkavu, gfsonwin,mpinzani wangu wa jadi Asprin na mpambe nuksi wake Kaizer AshaDii, Nazjaz, Smile, Ciello, charminglady, Mamengijuja, NGULI, Wasukuma wenzangu Nyani Ngabu, Ng'wanza Madaso, Watu wangu wa Mby PakaJimmy na Idimi bila kumsahau uyole. Chelelute nsipokutaja ntasutwa Pearl, FirstLady1, Lilian Masilago, na BAK nawataka Muinuke Muangaze.
Mtakutana na vikwazo vingi, mtavishinda kwa kuwa nyie ni wapendwa wa Mwenyezi Mungu.
Happy New Year
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya mkuu Bujibuji, ZD aliniambia mnakesha kanisani leo...
 
watu8 mwaka mpya umenikutia KKKT Kijitonyama, ibada ilikuwa nzuri sana. Tumeukaribisha mwaka kwa kuimba wimbo Mungu amenihurumia, tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu
Hivi vyote vyatoka wapi, nasema ni huruma tu!
 
Last edited by a moderator:
sie huku mji mzima kama anga limepambwa maua ni mioto na shangwe tupu!
 
Huku kwetu Belgium ndio kumekucha na hayo Ma FireWork utafikiri angani kunawaka moto usiku kjumegeuka mchana kwa muangaza karibu Mkuu Bujibuji Kheri ya Mwaka Mpya.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Bujibuji ila fireworks ni dhambi? kivipi?hebu fafanua...
Happy New year..
 
Last edited by a moderator:
Happy New year Bjbj... May it be one of your BEST... Pamoja saana. Ushauri wako huu hebu tufanye research ya visomo... Lol. Enjoy....
 
Jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku ukiwaleteeni salamu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.
Nawapendeni sana wana JF hasa wale wanaonikera kwa misimamo yao iliyotofauti na wangu. Mtu kama Ritz, @w.s. Malecella, Nnauye Jr, Jey key na wengine wengi, nawatakieni heri na fanaka. Pia marafiki zangu wapendwa Zion Daughter, Boflo, @c6, watu8, @da mie, ndyoko, Mtambuzi, Mbuzi Mzee, cacico, KakaKiiza, MziziMkavu, gfsonwin,mpinzani wangu wa jadi Asprin na mpambe nuksi wake Kaizer AshaDii, Nazjaz, Smile, Ciello, charminglady, Mamengijuja, NGULI, Wasukuma wenzangu Nyani Ngabu, Ng'wanza Madaso, Watu wangu wa Mby PakaJimmy na Idimi bila kumsahau uyole. Chelelute nsipokutaja ntasutwa Pearl, FirstLady1, Lilian Masilago, na BAK nawataka Muinuke Muangaze.
Mtakutana na vikwazo vingi, mtavishinda kwa kuwa nyie ni wapendwa wa Mwenyezi Mungu.
Happy New Year

Just like a day light in JHB, I watched and was getting news from home that "fireworks was everywhere, people enjoyed lot and 'twas fun allover the city' New year was a galla celebratory in Johannesburg
default.jpg
default.jpg
default.jpg
2Q==
A-young-woman-prepares-for-New-Years-Eve-at-an-event-at-Bar-Beach.jpg
Ivory-Coast-new-year-stampede-kills-dozens-in-Abidjan.jpg
This is Abidjan, Ivory Cost(Dosens lives claimed during new year)
12056556-large.jpg
Live in Johannesburg.
America-rings-in-January-1-with-fireworks-and-celebration-670x446.jpg
@Nivea!! what are you doing here? Is this your husband?
 
Happy new year all of u. Nawapenda sana
 
Jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku ukiwaleteeni salamu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.
Nawapendeni sana wana JF hasa wale wanaonikera kwa misimamo yao iliyotofauti na wangu. Mtu kama Ritz, @w.s. Malecella, Nnauye Jr, Jey key na wengine wengi, nawatakieni heri na fanaka. Pia marafiki zangu wapendwa Zion Daughter, Boflo, @c6, watu8, @da mie, ndyoko, Mtambuzi, Mbuzi Mzee, cacico, KakaKiiza, MziziMkavu, gfsonwin,mpinzani wangu wa jadi Asprin na mpambe nuksi wake Kaizer AshaDii, Nazjaz, Smile, Ciello, charminglady, Mamengijuja, NGULI, Wasukuma wenzangu Nyani Ngabu, Ng'wanza Madaso, Watu wangu wa Mby PakaJimmy na Idimi bila kumsahau uyole. Chelelute nsipokutaja ntasutwa Pearl, FirstLady1, Lilian Masilago, na BAK nawataka Muinuke Muangaze.
Mtakutana na vikwazo vingi, mtavishinda kwa kuwa nyie ni wapendwa wa Mwenyezi Mungu.
Happy New Year

Happy new year Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom