Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku ukiwaleteeni salamu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.
Nawapendeni sana wana jf hasa wale wanaonikera kwa misimamo yao iliyotofauti na wangu. Mtu kama ritz, @w.s. Malecella, nnauye jr, jey key na wengine wengi, nawatakieni heri na fanaka. Pia marafiki zangu wapendwa zion daughter, boflo, @c6, watu8, @da mie, ndyoko, mtambuzi, mbuzi mzee, cacico, kakakiiza, mzizimkavu, gfsonwin,mpinzani wangu wa jadi asprin na mpambe nuksi wake kaizer ashadii, nazjaz, smile, ciello, charminglady, mamengijuja, nguli, wasukuma wenzangu nyani ngabu, ng'wanza madaso, watu wangu wa mby pakajimmy na idimi bila kumsahau uyole. Chelelute nsipokutaja ntasutwa pearl, firstlady1, lilian masilago, na bak nawataka muinuke muangaze.
Mtakutana na vikwazo vingi, mtavishinda kwa kuwa nyie ni wapendwa wa mwenyezi mungu.
Happy new year