Diplomasia ipi? Putin mbele ya nchi za NATO ni masikini tu, hawezi kuwa na ushawishi.Mwambie Putin ajitahidi kuwa na diplomasia ili watu wajiunge naye.
Diplomasia ipi? Putin mbele ya nchi za NATO ni masikini tu, hawezi kuwa na ushawishi.Mwambie Putin ajitahidi kuwa na diplomasia ili watu wajiunge naye.
Watu walishajipanga mkuuHawajampigia magoti,wamesema wataagiza zaidi toka Sweden na wao wataongeza uzalishaji. Mkuu hawa watu walijipanga halafu Finland sio km Ukraine hii ni moja ya nchi tajiri duniani
Fingrid said it won't be difficult to replace Russian power imports.
“The lack of electricity import from Russia will be compensated by importing more electricity from Sweden and by generating more electricity in Finland,” said Reima Päivinen, Fingrid's senior vice president of power system operations.
Relations between Moscow and Helsinki have soured after Finland said it would apply to join NATO in reaction to Russia's invasion of Ukraine.
Finland has also been moving to end imports of Russian coal, gas and oil.
"We’re talking about weeks or months rather than years when it comes to Finland,” Prime Minister Sanna Marin said last month
Finland faces Russia electricity cutoff
Alisikika bektatu mmoja wa Boko akipayukaMaskini kibabu Putin, kila akigusa kinamponyoka.
wanyonge gani, WaafricaMungu Ibariki Nato imekuwa kimbilio la wanyonge.
Wanyonge/unyong upo katika engo pana. Africa ni wanyonge wapumbavu.wanyonge gani, Waafrica
.Hatimae hayawi hayawi sasa yamekuwa,hatimae Finland ametuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO,muda huu wapo live BBC.
Alitaka irudisha USSRUkraine alipigwa kisa anataka kujiunga NATO, sasa tuone kama huyo Russia atawagusa.... Sweden and Finland
Kujiunga NATO haikuwa sababu ya Russia kuivamia Ukraine nawaambia PUTIN alikuwa na sababu binafsi
Tofautisha NATO na EUKwann wasiweze kama kanuni zao zinasema hivyo?
Mbona Hangare ameweza kuzuia vikwazo vya nishati dhidi ya Russia?
Endelea kuotaAisay hizi habari mnazipata wapi Jana Mrusi aliwakatia umeme wakaenda mpigia magoti.
Finland hawezi kuingia NATO hata Siku Moja.
Ukizingatia jirani mwenyewe ameshakuwa kama Faru John aliyekoswa na risasi ya mwindaji,ana hasira na kila mtu kwa sasaWajiunge tu maana wapo jirani na lipua lipua jirani. Wakifanikiwa kujiunga labda atajiuliza kabla ya kubonyeza kilipuzi.
Supapawa wa mchongoHao Finland wanasema wakingia NATO hawata kuwa against Nchi yoyote Ile sa we huoni nikichekesho hicho.
Afu Mrusi ataipiga tu hawezi kubali NATO wawe karibu yake na NATO hawezi kufanya kitu.
Mimi mtazamo wangu Finland kuingia NATO hatafaidika chochote zaidi ya kuwa na Jirani Adui Tena Super Power yeye ndiye atakua chambo Cha pili Bada ya Ukraine.
Bear mla watu.Ukizingatia jirani mwenyewe ameshakuwa kama Faru John aliyekoswa na risasi ya mwindaji,ana hasira na kila mtu kwa sasa
Urusi kasema yoyote atakayesogeza pua yake NATO atakipata cha mtemakuni.Hatimae hayawi hayawi sasa yamekuwa,hatimae Finland ametuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO,muda huu wapo live BBC.
Fact: Russia hana uwezo wa kupigana vita mbili kwa sasa (Ukraine & Finland),sababu hawakujiandaa kwa hilo.Wanajifanya kuweka masikio pamba kwa kubisha na hoja zao za hapa na pale.
Hatuhitaji vita zaidi just to prove a point. Finland na Sweden wamekalia kuti kavu.
Wanyonge wa FinlandMungu Ibariki Nato imekuwa kimbilio la wanyonge.
Aisay hizi habari mnazipata wapi Jana Mrusi aliwakatia umeme wakaenda mpigia magoti.
Finland hawezi kuingia NATO hata Siku Moja.
FINI sio NATO bado kuna mchakato mrefu sana kuelekea huko kuanzia ndani mpaka nje ya nchi yaoTeh teh teh sasa hivi mnasogeza mbele inakuwa baada ya mwaka na sio instant membership?