RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,422
- 7,174
Kwann wasiweze kama kanuni zao zinasema hivyo?Kwa akili yako Uturukj inaweza kuzuia jambo wanalolitaka US,Germany na U.K?
Mbona Hangare ameweza kuzuia vikwazo vya nishati dhidi ya Russia?
Kwann wasiweze kama kanuni zao zinasema hivyo?Kwa akili yako Uturukj inaweza kuzuia jambo wanalolitaka US,Germany na U.K?
unafurahia maiti za binadamu wenzako?View attachment 2225643View attachment 2225644View attachment 2225645View attachment 2225646hali mbaya kwa ukraine jaman
Wako humu wanawaponda NATO ila kila siku wanakufa wakikimbilia NATO... na wanaoonewa na Ibilisi wa Mashariki, ufalme ule wa kishetani, kimbilio lao ni NATO kwa sasa!
Hatimae hayawi hayawi sasa yamekuwa,hatimae Finland ametuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO,muda huu wapo live BBC.
Kwa akili yako Uturukj inaweza kuzuia jambo wanalolitaka US,Germany na U.K?
Kwa sababu wewe mungu?Wakumbushe tu kwamba baada ya kukubaliwa maombi Article No5 itafanya kazi baada ya mwaka
Nakuhakikishia FINI na SWED hawataenda NATO
Naikitokea wameenda watajua kitakacho wakuta !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa taarifa ila nakukumbusha tu Russia hali mbaya mkubwa kakakimbia....kharkiv dogo napeleka moto sio wa kawaida *****[emoji23][emoji23]View attachment 2225643View attachment 2225644View attachment 2225645View attachment 2225646hali mbaya kwa ukraine jaman
Russia joka la kibisa watu hawaogopi tena...Hivi vitisho mmeanza kuvitoa tangu huu mchakato ukiwa tetesi mpaka sasa wanafanya kweli.Hakuna tatizo kwakuwa ni maneno matupu,endeleeni kutoa tu wakati wao wanasonga mbele na kuelekea NATO
Hawajampigia magoti,wamesema wataagiza zaidi toka Sweden na wao wataongeza uzalishaji. Mkuu hawa watu walijipanga halafu Finland sio km Ukraine hii ni moja ya nchi tajiri dunianiAisay hizi habari mnazipata wapi Jana Mrusi aliwakatia umeme wakaenda mpigia magoti.
Finland hawezi kuingia NATO hata Siku Moja.
Mshauri asome hii thread; Uingereza yaingia makubaliano na Finland na Sweden endapo nchi hizo zikishambuliwa Uingereza itaingilia moja kwa mojaKwa akili yako Uturukj inaweza kuzuia jambo wanalolitaka US,Germany na U.K?
Hao Finland wanasema wakingia NATO hawata kuwa against Nchi yoyote Ile sa we huoni nikichekesho hicho.Hawajampigia magoti,wamesema wataagiza zaidi toka Sweden na wao wataongeza uzalishaji. Mkuu hawa watu walijipanga halafu Finland sio km Ukraine hii ni moja ya nchi tajiri duniani
Fingrid said it won't be difficult to replace Russian power imports.
“The lack of electricity import from Russia will be compensated by importing more electricity from Sweden and by generating more electricity in Finland,” said Reima Päivinen, Fingrid's senior vice president of power system operations.
Relations between Moscow and Helsinki have soured after Finland said it would apply to join NATO in reaction to Russia's invasion of Ukraine.
Finland has also been moving to end imports of Russian coal, gas and oil.
"We’re talking about weeks or months rather than years when it comes to Finland,” Prime Minister Sanna Marin said last month
Finland faces Russia electricity cutoff
Sweden confirms they also want to join NATO hours after Finland officially announced it will apply to become part of alliance despite Putin saying country has 'made a mistake'Hao Finland wanasema wakingia NATO hawata kuwa against Nchi yoyote Ile sa we huoni nikichekesho hicho.
Afu Mrusi ataipiga tu hawezi kubali NATO wawe karibu yake na NATO hawezi kufanya kitu.
Mimi mtazamo wangu Finland kuingia NATO hatafaidika chochote zaidi ya kuwa na Jirani Adui Tena Super Power yeye ndiye atakua chambo Cha pili Bada ya Ukraine.
Wanajifanya kuweka masikio pamba kwa kubisha na hoja zao za hapa na pale.Hao Finland wanasema wakingia NATO hawata kuwa against Nchi yoyote Ile sa we huoni nikichekesho hicho.
Afu Mrusi ataipiga tu hawezi kubali NATO wawe karibu yake na NATO hawezi kufanya kitu.
Mimi mtazamo wangu Finland kuingia NATO hatafaidika chochote zaidi ya kuwa na Jirani Adui Tena Super Power yeye ndiye atakua chambo Cha pili Bada ya Ukraine.
Wamesema wapi Mkuu weka source tuone,awali ya yote NATO ni defensive organisation ipo pale kujilinda sio kumshambulia Mtu.Hao Finland wanasema wakingia NATO hawata kuwa against Nchi yoyote Ile sa we huoni nikichekesho hicho.
Afu Mrusi ataipiga tu hawezi kubali NATO wawe karibu yake na NATO hawezi kufanya kitu.
Mimi mtazamo wangu Finland kuingia NATO hatafaidika chochote zaidi ya kuwa na Jirani Adui Tena Super Power yeye ndiye atakua chambo Cha pili Bada ya Ukraine.
kharkiv ndo hii hapa ukraine kapelekewa moto izyum kharkivAsante kwa taarifa ila nakukumbusha tu Russia hali mbaya mkubwa kakakimbia....kharkiv dogo napeleka moto sio wa kawaida *****[emoji23][emoji23]
Mimi mtazamo wangu Finland kuingia NATO hatafaidika chochote zaidi ya kuwa na Jirani Adui Tena Super Power yeye ndiye atakua chambo Cha pili Bada ya Ukraine.
Hata sisi tunapata habari kama wewe,wapi hapa wamempigia magoti?Aisay hizi habari mnazipata wapi Jana Mrusi aliwakatia umeme wakaenda mpigia magoti.
Finland hawezi kuingia NATO hata Siku Moja.