FINEST na washkaji zake

FINEST na washkaji zake

Ni wadogo zangu wote hao. Una dada yako anatafuta mume? then u have got shem right here
Superstar pls nikabidhi huyo mwenye macho flani na tie,luks smart ananifaa sana.Natanguliza shukrani
 
Huyo wa kushoto amenifanya nichukie meno yangu na mdomo wooote!!!
 
Aisee, family potrait imetulia mwake kabisa.
Jamaa wako verrry FAINEST kiBEAUTY na wameSMILIES kiSUPER STAR kweli kweli.

Mwambie finest akija town asisahau ile oda yangu ya choroko na dengu.
 
Hey finest....although cjui which one is you...I mean in the picture....may I toss my proposal...WILL U MARRY ME?i will be the happiest woman in the world....ukinitosa,niunganishe kwa washkaji hao plzzzz
 
Sasa nimegundua avatar yako imetoka wapi. Na hawa jamaa kwao ndo handsome boyz!
 
Hey finest....although cjui which one is you...I mean in the picture....may I toss my proposal...WILL U MARRY ME?i will be the happiest woman in the world....ukinitosa,niunganishe kwa washkaji hao plzzzz

Itabidi tufanye kama vile suprise nina propose kwako unafunga macho then utaambiwa fumbua then you will see me holding an engagement ring then ndio you will see me right i cant tell you mimi ni nani kati ya hao watatu i just want to suprise you:becky::becky::cheer2::cheer2:
 
Aisee, family potrait imetulia mwake kabisa.
Jamaa wako verrry FAINEST kiBEAUTY na wameSMILIES kiSUPER STAR kweli kweli.

Mwambie finest akija town asisahau ile oda yangu ya choroko na dengu.

Hizi Valuer hapo watu walikuwa wameishapiga valuer chupa kama sita hivi
 
wa katikati ndio the Finest you looking good:A S 112:
 
wa katikati ndio the Finest you looking good:A S 112:

FirstLady1 natumaini yule mdogo wako baada hajamaliza chuo atanifaa sana maana ndio najiaanda kutoka huko pori nimeishauza mazao nina hela ya kutosha sasa
 
hahaha hahaha tell me not.
Ina maana yule wa kulia mwenye jicho nusu ndiye ameiutwika kuliko wote?

Alikuwa ana kiu kweli, alikuwa ana miezi sita hajagonga valuer kile kitendo cha kupiga chupa mbili fasta basi ndio dah reaction yake ilivyoanza kumtokea tukafiri atazima kumbe badala yake mabadiliko ya mwili ndio yakatokea
 
Back
Top Bottom