Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

Solution ya hii kitu ni kuiingiza kwenye mafuta ili mapato yaongezeke badala ya kutegemea fine
 
Na jinsi zinavyochajiwa ni hivi ikishapita siku 28 tu toka tarehe ya kuexpire unachajiwa 25% mara moja tu namaanisha utakachochajiwa baada ya miezi miwili hakina tofauti na utakacho lipia baada ya miezi kumi, sema huko barabarani TRAFFIC utafute cha kuwabebea. Na utaratibu kama gari limepata shida na haliko njiani ama limeharibika au umeamua kulipaki utaratibu unaandika barua TRA wanalitoa kwenye system basi
Kulitoa kwenye system labda kwenye kodi ya mapato kama ni gari ya biashara lakini motor vehicle haina msamaha
 
Mi nimelipa jana baada ya kuchelewesha kwa takriban miezi minne, sijapigwa faini yoyote
Umepewa feki hiyo, hakuna kitu kama hicho kwani ukivusha mwezi lazuma upigwe fine hakuna mjadala
 
Nimetoka kulipa fine laki saba na themanini toka Sept 2012-2016 nimejuta wakati gari ni cc1500 nilitegemea 150000 mara nne cha ajabu kumbe inaonyesha fire unalipia kila mwaka maana nimeambiwa fine huwa moja tu haijirudii tatizo kwanini fire hawatupi Hizo fire extinguisher kama umelipia miaka yote hiyo
Wizi mkubwa
 
Solution ya hii kitu ni kuiingiza kwenye mafuta ili mapato yaongezeke badala ya kutegemea fine
Sure kama ukipaki gari lako haulipi haya makitu ila ukilitumia ndio unalipia tena hii ndio italeta mapato mengi zaidi ya haya ambayo hata ukiangalia magari mengi kwenye parking hata ya ofisini kwako tu motor vehicle nyingi zime expire coz wengi hatulipi kwakuwa mostly tuko barabarani asubuhi na jioni so hata usumbufu sio kivile labda uotewe na kwa weekend wengine ile sticker iliyoisha tulikuwa hatuiweki so hata traffic akiniotea na malizana nae kibingwa labda ukutane na wale wanaomulika na torch
 
Huwa nashangaa unakuta maofisa wa tra barabarani wanakagua hizo stika, najiuliza kazi zao anafanya nani huko maofisini, wakati kama wangeingiza kwenye mafuta inakuwa ni automated revenue collection, wanaendelea na kazi na mapato yanajikusanya kupitia mafuta, utaratibu wao wa kusimama njiani unahasara kubwa
  1. Unasababisha rushwa maana watu hupashana habari kuwa leo kupo vibaya, hivyo magari hayaingi njiani wakisubiri hali ipoe, yale yanayokuwa yameingia wanawapooza wakamataji,
  2. Kuna magari mengi ya serikali yaliyouzwa siku nyingi bado yanatumia namba za serikali, hayakamatwi, mf. nimekutana na lori moja lilikuwa la mazengo sekondari linafanya kazi ya kusomba mchanga matofari na mawe vijijini likiwa na namba za stg ___
  3. Kama tungetumia utaratibu wa kukusanya mapato kwenye mafuta, hata pikipiki, bajaji, matractor (yaliyochimbiwa mashambani) etc yangeinua mapato ya serikali maana yangelipa
 
Kwa sasa wanavyoitafuta kodi yao am sure watapunguza hizo siku kutoka 30 mpk 10
 
Ngoja nikupe uzoefu wa majanga yangu, Mimi nilichelewa miezi miwili, na nilitakiwa kulipa 230000. Ila nilipoangalia nadaiwaje ikaja 287000. Nilihuzunika sana. Kuepuka majanga nikalipa fastaa.
 
Hivi hiki kipindi cha grace period ya siku 30 bado ipo hadi leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom