MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,582
Heshima kwenu brothers and sisters
Wakuu gharama za fine za Road licence maarufu kama motovehicle ikicheleweshwa kulipwa kama miezi miwili ipo vipi..
Gari lilipata ajali halijatumika kama 3 months so ndo limekamilika imebaki road licence na iliisha toka November last year..kawaida ya hiyo Gari huwa inalipiwa LAK 2 kwa mwaka ikilipwa kwa wakati.
Sasa itacost kiasi gani kwa miezi hii iliyocheleweshwa?