Habari zenu wanajamvi kwa jina naitwa John nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana, mchepuo wa PCB baada ya matokeo kutoka niliscore div 3 ya mwanzo kwa bahati mbaya nilikosa chuo,by nimekaa Sana home Sina shughuli ya kufanya lakini Nina talent ya uchoraji hivyo nilikua naomba mdau mwenye experience na fine art awe mentor wangu...namba yangu ya simu: 0653211873