sonnita JF-Expert Member Feb 11, 2014 1,787 1,910 Feb 7, 2015 #3 Ambapo huangalii ndo kuna black dot,ukikifata kinaenda kwingine. Kipo huko kwingine.lol
Lusajo11 JF-Expert Member Dec 13, 2014 1,887 1,958 Feb 7, 2015 #4 Kuna black dots zinatokea kwenye hizo rounds nyeupe au macho yangu yametengeneza picha yenyewe??
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 7,970 6,756 Feb 7, 2015 #6 VAN HEIST said: View attachment 224967 Click to expand... Hakuna black dot, hizo suroundngs znafanya huweze ona black dots, ukitak ku prove, ziba kote zen fungua doti moja baada ya nyingine
VAN HEIST said: View attachment 224967 Click to expand... Hakuna black dot, hizo suroundngs znafanya huweze ona black dots, ukitak ku prove, ziba kote zen fungua doti moja baada ya nyingine