Nilitabiri singida Black stars msimu huu anashuka daraja

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
569
Reaction score
608
Naona kabisa utabiri unaenda kutumia kutokana na mwenendo mbaya kwenye ligii

Singida Black stars ipo nafasi ya 9 ikiwa imecheza mechi 10
Imevuna Alama 14
Imeshinda michezo 4
Imepoteza mechi 4
Sare mechi 2

Imefunga magoli 15 na imeruhusu magoli 13
Umiliki wa mpira ni 50.5%

Hiki Ni kiwango kibovu Cha timu Kama singida Black stars
 
Singida nahisi kuna shida ya malipo kwa wachezaji kwani nimeona wachezaji wawili wameshavunja mikataba wamesepa. Hii timu ina bahati mbaya sana wanakuja wawekezaji baadae wanaitelekeza sijui shida nini.
 
Shida ni kupewa maelekezo na bwana yule...aliesema ndugu wawili wakigombana shika jembe ukalime
 
Singida nahisi kuna shida ya malipo kwa wachezaji kwani nimeona wachezaji wawili wameshavunja mikataba wamesepa. Hii timu ina bahati mbaya sana wanakuja wawekezaji baadae wanaitelekeza sijui shida nini.
Mwekezaji mkuu amekutwa na jambo mradi lazima uyumbe
 
Back
Top Bottom